satellite receivers

itagata

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
218
Reaction score
77
Habari wana JF, naomba msaada kutoka kwa yeyote anaejua, ni Receivers gani za FTA (free to air) ni imara na zinafungua chanel nyingi ili ninunue maana naanza kujiandaa na December 31.
Naomba kwa anaejua anisaidie kunitajia ili nikaitafute mapema.
 
Habar ni njema mdau! Mi napendkeza ununue
a} Arsat (Rs600) au Arsat (Rs1000)....
b} Strong' model yyte!
c} Gulf star!
Hayo ndio mapendkezo yangu kwa uzoefu nilionao!
 
Asante sana kiongozi, ngoja nikazitafute.
 
Hii ndiyo faida ya Jf elimu bure pasipo na malipo.
 
Habar ni njema mdau! Mi napendkeza ununue
a} Arsat (Rs600) au Arsat (Rs1000)....
b} Strong' model yyte!
c} Gulf star!
Hayo ndio mapendkezo yangu kwa uzoefu nilionao!

Hapo kwenye Arisat model siyo Rs600 ni Arisat Ar600 au Ar1000. Mkuu kama unaweza tafuta ARISAT AR600 HD MPEG4 DVBS-2 kwani ni nzuri kwa matumizi bei yake pia ni ndogo kati ya elfu 70 hadi 80. Angalizo usije ukanunua receiver ya mpeg2 dvbs-1
 
Mimi natumia Mpeg2 dvbs-1 inanishumbua,mara nyingi inaniambia signal weak.Je mkuu zina matatizo gani?Au dishi halijakaa vizuri?Tuelimishane zaidi mkuu,je nikimwita fundi haitengenezeki?
 
Hapo kwenye Arisat model siyo Rs600 ni Arisat Ar600 au Ar1000. Mkuu kama unaweza tafuta ARISAT AR600 HD MPEG4 DVBS-2 kwani ni nzuri kwa matumizi bei yake pia ni ndogo kati ya elfu 70 hadi 80. Angalizo usije ukanunua receiver ya mpeg2 dvbs-1

Kaka asante kwa marekebisho na Ubarikiwe sana!
 
Hapo kwenye Arisat model siyo Rs600 ni Arisat Ar600 au Ar1000. Mkuu kama unaweza tafuta ARISAT AR600 HD MPEG4 DVBS-2 kwani ni nzuri kwa matumizi bei yake pia ni ndogo kati ya elfu 70 hadi 80. Angalizo usije ukanunua receiver ya mpeg2 dvbs-1

kaka hiyo ni pamoja na dish au receiver peke yake?
 
Hapo kwenye Arisat model siyo Rs600 ni Arisat Ar600 au Ar1000. Mkuu kama unaweza tafuta ARISAT AR600 HD MPEG4 DVBS-2 kwani ni nzuri kwa matumizi bei yake pia ni ndogo kati ya elfu 70 hadi 80. Angalizo usije ukanunua receiver ya mpeg2 dvbs-1

Nashukuru sana kwa ushauri wenu wana JF, kwa Bahati mbaya nimejaribu kutafuta hizo aina za receiver ambazo mmenishauri nimekosa katika eneo nililopo, nimefanikiwa kuipata Strong SRT 4663x ni MPEG2 na si MPEG4 kama mlivyonishauri. kwa kuanzia nadhani itanifaa wakati najipanga kutafuta iliyo bora zaidi.

Thanx wana JF.
 
turud kwny TV sasa

nna mediacom mpeg2 na dish futi6 nina C band na KU
nikinunua MPEG4 nitapata badiliko gani kwenye tv yangu?
 
turud kwny TV sasa nna mediacom mpeg2 na dish futi6 nina C band na KU nikinunua MPEG4 nitapata badiliko gani kwenye tv yangu?
. Badiliko utakalolipata ni kwamba hiyo receiver ya MPEG4 ita shika chanel zote zilizopo kwnye list
 
hv ukifinga ku band juu ya c band ile ambayo inakamata aljazeera ,cctv9,hope,peace ni channel gan unapata hapo na ile c band unaitoboa kwa juu au?
 
Ahsante kwa kushare. naomba kuuliza hiyo ARISAT AR 600 HD naweza kuipata duka gani hapa Dar es salaam

Hapo kwenye Arisat model siyo Rs600 ni Arisat Ar600 au Ar1000. Mkuu kama unaweza tafuta ARISAT AR600 HD MPEG4 DVBS-2 kwani ni nzuri kwa matumizi bei yake pia ni ndogo kati ya elfu 70 hadi 80. Angalizo usije ukanunua receiver ya mpeg2 dvbs-1
 
hv ukifinga ku band juu ya c band ile ambayo inakamata aljazeera ,cctv9,hope,peace ni channel gan unapata hapo na ile c band unaitoboa kwa juu au?

Pale unapata zile za nigeria Emanueli,Nollwody,Press nk hapo juu inapokaa ni sawa na vile huwa unaiweka yuma ya ile ya itv kuna lnb za Combo huwa zimekwishaunganishwa toka kiwandani.
 
Me ningetoa msaada ila naona sio wengine mtaweza kufanikiwa........Kama mtataka maelezo naweza kuweka hapa ila sherti hilo box liwe connected kwenye internet...
 
Je nikifunga ku
upande wa kulia au kushoto mwa c band yenye local tapata nini?
 
Me ningetoa msaada ila naona sio wengine mtaweza kufanikiwa........Kama mtataka maelezo naweza kuweka hapa ila sherti hilo box liwe connected kwenye internet...

Funguka kaka hilo boksi linapatikana wapi na linagharimu kiasi gani?pia unaweza kujifungia mwenyewe au mpaka awepo technicial?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…