Habar wadau
hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni
TTCL
ZUKU
LIQUID
KONNECT
HAI
GOFIBER nk wate wapo competitive na ni unlimited
sasa changamoto ni moja tu hawa wapo town tu masaki posta oysterbay kariakoo tabata nk huku chanika hawajafika
sasa nikasikia zipo satelite internet nataka nifunge satelite internet huku home chanika naomba mnipe mwongozo na bundle za satelite internet zipoje
Usiishoe kusemq ghalmatumizi ya satelaiti ni ghali sana. we jiulize kwa nini anazam anakimbia kwenye Satelaiti TV anakimbilia telestrial??
alikadhalika kwenye Internet pia kupo hivyo
Konnect ni sateliteHabar wadau
hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni
TTCL
ZUKU
LIQUID
KONNECT
HAI
GOFIBER nk wate wapo competitive na ni unlimited
sasa changamoto ni moja tu hawa wapo town tu masaki posta oysterbay kariakoo tabata nk huku chanika hawajafika
sasa nikasikia zipo satelite internet nataka nifunge satelite internet huku home chanika naomba mnipe mwongozo na bundle za satelite internet zipoje
sijui umeandika nini hapamatumizi ya satelaiti ni ghali sana. we jiulize kwa nini anazam anakimbia kwenye Satelaiti TV anakimbilia telestrial??
alikadhalika kwenye Internet pia kupo hivyo
Nakumbuka CHIEF MKWAWA aliwahi kuelezea hasara/madhaifu ya hii aina ya internet ya satellite, kwanza kabisa ina ping kubwa, pili haiko stable hasa kwenye swala zima la streaming itakutesa labda kama unataka kwa ajili ya matumizi ya kawaida sana haya ya kila siku tu kuchat na download vifiles vya kawaida kama wewe sio heavy user!Habar wadau
hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni
TTCL
ZUKU
LIQUID
KONNECT
HAI
GOFIBER nk wate wapo competitive na ni unlimited
sasa changamoto ni moja tu hawa wapo town tu masaki posta oysterbay kariakoo tabata nk huku chanika hawajafika
sasa nikasikia zipo satelite internet nataka nifunge satelite internet huku home chanika naomba mnipe mwongozo na bundle za satelite internet zipoje
Mkuu nipe dondoo mbili tatu kuhusu hawa jamaa...hawarespond simuKonnect ni satelite
Kuna uzi jamaa amesha wa expose hapaMkuu nipe dondoo mbili tatu kuhusu hawa jamaa...hawarespond simu
Asante mkuuKuna uzi jamaa amesha wa expose hapa
Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?
Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO. Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.Wapuuzi...www.jamiiforums.com
KONNECTMkuu nipe dondoo mbili tatu kuhusu hawa jamaa...hawarespond simu