Nakubaliana na wewe mkuu... lakini yabidi tumsadie Mh. Slaa yakhe.... tuseme.... Wananchi wapenda haki tukiicheza vizuri basi tunaweza kuisambaratisha 'Ngome ya Sicily' 2010!Sataranji ina siri nzito - Slaa akiicheza vizuri basi anaweza kuisambaratisha 'Ngome ya Sicily' 2010!
Nakubaliana na wewe mkuu... lakini yabidi tumsadie Mh. Slaa yakhe.... tuseme.... Wananchi wapenda haki tukiicheza vizuri basi tunaweza kuisambaratisha 'Ngome ya Sicily' 2010!
akipita shamsa ni ahueni kwa mnyika
Ukicheza sataranji namna hiyo kamwe huwezi kumshindi gwiji - cheza hivi:
Kama Sisiemu itampitisha Shamsa itakuwa ahueni kwa Mnyika kwa namna hii (1), (2),..., (n)
Ili Mnyika ashinde itabidi aitumia ahueni (1),(2),..., (n) hivi (1a),(2a),....,(na)
Na kama Mnyika atatatumia ahueni hizo namna hii (1a), (2a)...,(na) basi Shamsa aweza kujibu mapigo hivi (1b), (2b),...,(nb)
Hivyo basi inabidi Mnyika afanye hivi, au hivi, au vile ile ashinde.
Mchezo Kwisha!
Mimi naona kama vile ili mchezo uishe kwa ushindi ni lazima kuangalia wapi wanaiba kura, Embu niambie umewahi kuona jamaa wanavyokuwa ndani ya chumba cha kula wanalala hapohapo, zikikusanywa wanapanda kwenye gari la mabox na wakati huo wa upinzani wameachwa.
Sataranji ya muhimu ni kuangalia wakati wa kupiga kura, wale wasimamizi waangaliwe, kuchambua na kuhesabu, vinginevyo utaniambia come November.
Santaranji nyingine,
wafanyakazi mara nyingi ndo huwa wanaenda kusimamia kura, hasa walimu n.k, JK kasem hataki kura zenu, msiishie hapo kumnyima kura zenu, hakikisheni hamkubali kutumika kuiba kura za wengine! Abaki na hizo hizo za hao watakao mpigia! Tatizo ni pale wasimamizi mnapo kubali kutishiwa nyau mkakubali mabox yakabadilishwa, Mbona Tarime waliukataa upuuzi huo? kila mtu asimame kidet kuukataa wizi wa kura kwa nafasi yake, hapo Slaa ata win tu!