luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,361
- 6,967
Habarini wajuzi wa technoloji,
Naulizia ni sat finder ipi ni nzuri na bei zake zimekaaje hapa bongo?
Naulizia ni sat finder ipi ni nzuri na bei zake zimekaaje hapa bongo?
Nataka digital mimi.Nzur ni ya digital, ila bei yake imesimam kdogo.Kama uko dar njoo nikuuzie ya kwangu Analog (very cheap).
Kuna ambayo niliona wanauza kwenye shopping site ya zoomTanzania, ilkuwa around 170k.Nataka digital mm
Digital za Nasikia Gt media,.izo digital bongo bei yake ipoje maana alibaba zinapatikana kwa 150k
Sio mbaya kwa 170k, asante mkuuKuna ambayo niliona wanauza kwenye shopping site ya zoomTanzania,ilkuwa around 170k