usanii tu
Wapendwa wana JF, hizi unlimited internet budles kutoka Sasatel ni unlimited ya ukweli kwa kasi ya 153kbps. Mimi natumia hizi bundles za Sasatel kuanzia unlimited internet ya siku moja (masaa 24) kwa Tsh 500, unlimited internet ya wiki moja kwa Tsh 8,000 na unlimited internet ya mwezi mmoja kwa Tsh 30,000. Tena katika mwezi huu wa February, wanatoa unlimited internet ya bure kwa wateja wote wapya. Ijaribu ili ujionee na ufaidi!Mkuu ni unlimited kweli lakini hiyo speed yao utatamani kulia.
Nisawa na kupewa pipa la maji kisha upewe kijiko cha chai ukitumie kuyachota.
Bora kununua gb
naam umenenando maana uchakachuaji hauishi
hyo sio kwa wenye usb modemWapendwa wana JF, hizi unlimited internet budles kutoka Sasatel ni unlimited ya ukweli kwa kasi ya 153kbps. Mimi natumia hizi bundles za Sasatel kuanzia unlimited internet ya siku moja (masaa 24) kwa Tsh 500, unlimited internet ya wiki moja kwa Tsh 8,000 na unlimited internet ya mwezi mmoja kwa Tsh 30,000. Tena katika mwezi huu wa February, wanatoa unlimited internet ya bure kwa wateja wote wapya. Ijaribu ili ujionee na ufaidi!
Mara ya mwisho nilipoiona cavarage yao ilikuwa ni dar tena haifiki hata mbezi mwishoJamani niko Dodoma. Nina mpango wa kununua SASATEL, Je! inaweza kufanya kazi huko? Naomba uzoefu wenu tafadhali!!!
For browsing or DownloadingWapendwa wana JF, hizi unlimited internet budles kutoka Sasatel ni unlimited ya ukweli kwa kasi ya 153kbps. Mimi natumia hizi bundles za Sasatel kuanzia unlimited internet ya siku moja (masaa 24) kwa Tsh 500, unlimited internet ya wiki moja kwa Tsh 8,000 na unlimited internet ya mwezi mmoja kwa Tsh 30,000. Tena katika mwezi huu wa February, wanatoa unlimited internet ya bure kwa wateja wote wapya. Ijaribu ili ujionee na ufaidi!
internet ni airtel tu! Mchana kweupe najidownlodia file la 22 MB kwa dakika zisizopungua 4!! Yaan mpka raha buku 2 shiva yako 2!!