Zak Malang JF-Expert Member Joined Dec 30, 2008 Posts 5,404 Reaction score 242 Feb 20, 2012 #1 Sasatel hawako hewani, vipi? Tangu jana jioni - both internet na simu. kulikoni? Ndoyo maana wachangiaji wengi leo hawamo humu.
Sasatel hawako hewani, vipi? Tangu jana jioni - both internet na simu. kulikoni? Ndoyo maana wachangiaji wengi leo hawamo humu.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,446 Reaction score 96,619 Feb 20, 2012 #2 Haaaaaaaaaaaaaaaa umejuaje kwamba haipo hewani?
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 359 Feb 20, 2012 #3 Nimesikia watu wanasema kuwa imefulia sijui kama ni kweli mimi si mteja wao.
Uncle Rukus JF-Expert Member Joined Jun 16, 2010 Posts 2,415 Reaction score 398 Feb 20, 2012 #4 Tatizo ni kwamba hawa jamaa hawaku soma soko linahitaji kitu gani, kwa tech ya CDMA ambayo imewashinda hata TTCL sitegemeei kama watafika mbali kama hawajafungasha virago vyao
Tatizo ni kwamba hawa jamaa hawaku soma soko linahitaji kitu gani, kwa tech ya CDMA ambayo imewashinda hata TTCL sitegemeei kama watafika mbali kama hawajafungasha virago vyao