sasa yupi mjanja !

sasa yupi mjanja !

Ticha kichwa.. ndo maana alikubali kirahisi. Mtihani zero.
 
Hivi siku hz Club ndio watu wanafungia NDOA? Naombeni mnijuze jamani, ushamba na uzee wangu huu, mambo inawezekana yamebadilika sana.

Hiko chuo ni hv vya kwetu vya St. Kanumba? Maana u can discuss the test na hukufanya, inamaana hata matokeo mnaweza discuss. Na hao lecturers hawana ratiba? Wanamuda mwingi sana....
no biggie this is just a joke!
 
Back
Top Bottom