sasa yupi mjanja ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sasa yupi mjanja !

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by EL MAGNIFICAL, Feb 14, 2011.

 1. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kuna wanafunzi wa chuo flani walikua na pepa cku ya jumatatu sasa jana yake jumapili walienda club !
  wakiwa club walilewa sana kiasi kwamba juma3 wakachelewa kwenye pepa kabisa !
  ikabidi wamfate mwalim wao na kumueleza kuwa jana jumapili walikua kwenye harusi hivyo wanamuomba awapangie cku nyingine ya pepa !
  mwalim akakubali na kuwambia pepa itakua juma4.
  ilipofika juma4 ticha alimuweka kila mwanafunzi ktk chumba chake na kuwapa mtiani very simple !
  maswali yalikua kama ifuatavyo :-
  1. bwana harusi anaitwa nani !
  2.harusi ilifanyikia ukumbi gani ?
  3. B.harusi alikuaje mrefu au mfupi ?
  4.bwana harusi ni mweupe mweusi ?
  5.ukumbin mlitoka saa ngapi !
  ebwanaeeee ! ilikua full kuchanganya habari !
  je ungekua mmoja wapo ungefanyaje !!!!!
   
 2. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ningemwambia Teacher yaishe Bana
   
 3. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Imekula kwao..
   
 4. M

  MFILIPINO Senior Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo mkitofautiana imekula kwenu!
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hivi siku hz Club ndio watu wanafungia NDOA? Naombeni mnijuze jamani, ushamba na uzee wangu huu, mambo inawezekana yamebadilika sana.

  Hiko chuo ni hv vya kwetu vya St. Kanumba? Maana u can discuss the test na hukufanya, inamaana hata matokeo mnaweza discuss. Na hao lecturers hawana ratiba? Wanamuda mwingi sana....
   
 6. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35  bwana mkuu madent walikua wanadanganya tuu !
  Na ticha akashitukia ila sio kweli kwamba walikua kwenye harusi hapo vp !
   
 7. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mkuu is it copy and paste this has been here before
   
 8. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sikuwahi kuiona asante mkuu
   
 9. N

  Napo Member

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  copy n paste,toa yako na mpya!
   
 10. m

  mshewa Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :msela:
  Imekula kwao
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo ni balaa maana majibu yataonesha uongo mtupu.
   
 12. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi mwenyewe sijawahi kuiona, thnx mkuu, mbavu zimetingishika jion hii
   
 13. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ama kweli huyu ni ticha wa ukweli
   
 14. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mfilipino haiwezekani hawa jamaa wakaenda sawa hata iweje !!!!!!!!!!!!
   
 15. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  bwana novatus watu wengine hawadanganyiki mzazi !!!!!!!!!!!!!
   
 16. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mwana wangesema ukweli balaaa !
  wamedanganya nomaaaa !
   
 17. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  na ndo ticha alipotaka ili wajue hajawaonea !!!!!!!!!!!
   
 18. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sawa mwenyekiti !!!!!!!!!!!!!!
   
 19. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  ndo ichukue mwana !!!!!
  wengne wanasema copy and paste !!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 20. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nashukulu mkuu sikuwahi iona !!!!!!!!!!!!
   
Loading...