Moderators, hizi thread za vilabu kama hii inayohusu Yanga ichanganyeni kwenye respective "special threads".
So, please pelekeni hii thread ya Yanga kule Yanga Special Thread.
teh, teh, au mlikuwa mnatafuta sababu ya kumtimua tu yule mzee.Yanga 4-1 JKT Ruvu
teh, teh, au mlikuwa mnatafuta sababu ya kumtimua tu yule mzee.
Yanga4-Ruvu JKT1.heeeee na wewe ni anti mtakatifu tom chilala nini! mbona kwenye kufungwa watu hawaonekani..
We ni Maha-Rage?Moderators, hizi thread za vilabu kama hii inayohusu Yanga ichanganyeni kwenye respective "special threads".
So, please pelekeni hii thread ya Yanga kule Yanga Special Thread.
Moderators, hizi thread za vilabu kama hii inayohusu Yanga ichanganyeni kwenye respective "special threads".
So, please pelekeni hii thread ya Yanga kule Yanga Special Thread.
Hahahaaaaa.Kalale wewe! Mods wako busy wanashangilia Yanga 4 - Shimbo 1
wewe kelel nitkupa ban sasa hivi hatutaki members wenye wivu wa kike hapa!Moderators, hizi thread za vilabu kama hii inayohusu Yanga ichanganyeni kwenye respective "special threads".
So, please pelekeni hii thread ya Yanga kule Yanga Special Thread.
Wameisha hawa hata jkt wanaihonga?eti kisa anavaa kikuku wanashangaa mbona samwel masai anavaa hawa magazetini fc vipi..
Hongereni, na kama mngeendelea na mfumo wa mabeki sita lazima kichapo kisingekoma na mngeendelea kuumia, hongera Minziro kuliona hilo.Yanga 4-1 JKT Ruvu
Yanga 0 na Simba 5
watu washa mbamba sn,Mbona man u hawakumbushii bao zao nane kwa arsenal:tape2:mAvI Ya kAlE hAyAnUkAgI!
Mkuu, hapo jamaa wa Msongamanoni wameshikwa pabaya. Siyo siri: Simba bila Okwi si lolote wala si chochote! Inawezekana wakaenda kotini kusimamisha mchezo huo hadi hapo CAF, FIFA na CAS watakapotoa maamuzi yao. Niwakumbushe MahaRage na wenzake kuwa maamuzi ya uwanjani hayaamuliwi mezani (Rejeeni issue ya Nadir Harub katika kesi ya Young Africans v Coastal Union 2011/2012). 'Leka Dutigite' kwa kuwacharaza hawa wazee, wakiingiza timu wamekwisha na wanalijua hilo! Sasa ni zamu yao tena kuingia mitini kama walivyowahi kufanya hivyo miaka ya huko nyuma.Nasikia Simba wanataka kushitaki CAF, FIFA na CAS ili kutaka kadi ya Emma Okwi ifutwe ili acheze na Yanga tarehe 3 Oktoba.......Wanadai kadi ya Okwi( ambayo ilikuwa ni straight red card) isipofutwa hawaingizi timu uwanjani na wanaenda mahakamani..........Lol!!!!