Sasa wote tunaisoma namba

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Kila mahali maisha ni tight.

Sio bodaboda wanaisoma

Machinga wanaisoma

Elimu ya juu wanaisoma

Watumishi wanaisoma

Wakulima wanaisoma ( no free food)

Wafugaji wanaisoma (ukame mifugo kwishney)

Wafanyabiashara wanaisoma

Wabunge wanaisoma

CCM wanaisoma kama ilivyo kwa UKAWA.

Lifee limeshika!!
 
Hakyanani hali ikiendelea hivi,tume Hutu ya Uchaguzi ikawepo pamoja na katiba mpya, UKAWA wakaendelea kua wamoja.Sikilizieni mziki wake! CCM urais watausikia kwenye bomba.Hakuna mtanzania ambaye amenufaika na utawala huu kwa sasa iweje waipigie kura CCM tena?Nenda mtaani waulize kwamba watarudia kosa kuichagua CCM utasikia.
 
u nailed it
 
Jamani mh.katununulia ndege jamani, ukitaka kwenda kijijini kwenu panda ndege ukamsalimie bibi na babu ...mh. katisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom