namba one kwa magaidi na wauza sembeMtahangaika sana lakini CCM ni Nambari One
Mtahangaika sana lakini CCM ni Nambari One
kwani wanaoiunga mkono CCM si Watanzania?
Hakika maisha ya mtanzania yanaendelea kuwa magumu kila kukicha,viongozi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza wamekuwa watu wa porojo nyingi na uongo juu,ushauri wangu kwa watanzania zaidi vijana wenzangu tufika hatua tuseme inatosha ccm kuongoza nchi hii,bora wakae uraiani chama kingine kichukue hatamu,tujadili kwa hoja sio matusi
Mtahangaika sana lakini CCM ni Nambari One
Mimi nilisha wakataa zamani sana
Twende wapi sasa? kwa wahafidhina? mimi ntafia huko huko CCM angalau naona wamenitoa wapi, wamenifikisha wapi na wananipeleka wapi.
namba 1 kwa majangili na wauza sembe!
hujitambui,wewe mla makombo mkubwa unasumbuliwa na njaa!
Acha bwembwe wewe, CCM ndo inakuweka mjini leo unataka kuikana.
Acha bwembwe wewe, CCM ndo inakuweka mjini leo unataka kuikana.
ni misukule pekee iliyobaki huko magambani!