SASA VITAMBI,PRESSURE,SHINIKIZO LA DAMU BHAAAASII...!!!!

SASA VITAMBI,PRESSURE,SHINIKIZO LA DAMU BHAAAASII...!!!!

Mkuu unavotangaza biashara kwanza toa elimu juu ya bidhaa husika.
Inasaidia nini,
Watu watatumiaje,
Sasa ww hujatoa elimu yoyote
 
Mashine ya kukamua mafuta au kupikia ugali
 
Sasa mbona umeficha Ujumbe kama msanii anayeiandikia serikali?
Tumia Lugha ya biashara ili wengi wakuelewe
Hii ni mashine inayotumika kuhokea baadhi ya vyakula kama..kuhoka kuku,cake,n.k hii inatuma mafuta machache sana kweny kukaangia vitu vyake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom