Sasa unaweza kuinstall Kali Linux kupitia Windows Store!

Ulikuwa unaweza kufanya dual boot au kurun kali kwenye VM always, ila sasa unaweza kurun kali ndani ya Windows kwa kuinstall kama App kutoka Windows Store.
 
Mkuu haiwez kubadilisha utamu wa kali linux?mi naona apo wanaturahisishia zile complication za kurun Kali linux kutoka na wengi walikuwa wanapendelea dual boot.But ipo poa heko kwa Microsoft
 
Back
Top Bottom