Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,208
- 7,721
Support!SASA UNAINGIA KIMARA
Tulikuwa tunaingia mkoa wa Mara kwa heshima zote na pale mpakani unakutana na bango kubwa sana linalosoma "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA" kana kwamba unatakiwa kuchagua ama kuendelea na safari ama kurudi ulikotoka!
Ingependeza pia kukawa na bango linalosoma "SASA UNAINGIA KIMARA" ili kuipa hadhi Kimara inayoweza mpaka kuionya URRUSI!
Kuna haja pia ya kusimika KANDA MAALUM YA KIPOLISI KIMARA!
Mbezi hadi kimara walikiwasha aiseeeSASA UNAINGIA KIMARA
Tulikuwa tunaingia mkoa wa Mara kwa heshima zote na pale mpakani unakutana na bango kubwa sana linalosoma "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA" kana kwamba unatakiwa kuchagua ama kuendelea na safari ama kurudi ulikotoka!
Ingependeza pia kukawa na bango linalosoma "SASA UNAINGIA KIMARA" ili kuipa hadhi Kimara inayoweza mpaka kuionya URRUSI!
Kuna haja pia ya kusimika KANDA MAALUM YA KIPOLISI KIMARA!
... KWAKWELI, maana naona hata WATU sasa wanaingia Kwa mwendo wa kushtukiza. ... sijui Millard Ayo alijuaje!!!?SASA UNAINGIA KIMARA.
Na sie wa kigamboni jeUkweli uswemwe bila watu wa Kimala kukinukisha maandamano ya trh 29 yasingekuwepo
Kigamboni mazuzu tuNa sie wa kigamboni je
bango pia liandikwe KAZASASA UNAINGIA KIMARA
Tulikuwa tunaingia mkoa wa Mara kwa heshima zote na pale mpakani unakutana na bango kubwa sana linalosoma "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA" kana kwamba unatakiwa kuchagua ama kuendelea na safari ama kurudi ulikotoka!
Ingependeza pia kukawa na bango linalosoma "SASA UNAINGIA KIMARA" ili kuipa hadhi Kimara inayoweza mpaka kuionya URRUSI!
Kuna haja pia ya kusimika KANDA MAALUM YA KIPOLISI KIMARA!
Zuzu mwenyewe na ukoo wenu woteKigamboni mazuzu tu
Wana Navy pale labda wanaogopa 😂Kigamboni mazuzu tu
Mbona mnataka kutupora sifa yetu stahiki sisi wakazi wa Ubungo?Ukweli uswemwe bila watu wa Kimala kukinukisha maandamano ya trh 29 yasingekuwepo
... ajabu Kimara sasa ni kubwa kuizidi Mara!kiMARA ni mdogo wake MARA, kwa hiyo kafata tabia za kaka yake