sasa umefika wakati muafaka wa kuunda serkali moja tz! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sasa umefika wakati muafaka wa kuunda serkali moja tz!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgen, Dec 24, 2010.

 1. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Kila mwenye imani aombe Dua kwa imani yake ili MWENYEZI MUNGU ATUANGAZIE BAYANA TUONE HILI BILA UNAFIKI WALA UBINAFSI AU UMASLAHI WA PANDE MOJA YA MUUNGANO Tulikubaliana tuue mama zetu ili wote tuwe wakiwa mimi nikamuua mama yangu )(TANGANYIKA) nikaja gundua mama yake hakumuua bali kamficha (Zanzibar) nilipoliona hilo nikampa ushauri mwenzangu kwamba nimfufue mama yangu au nawe umuue mama yako jibu nililo pata ni la uchungu sana ambalo halivumiliki kibinadamu kwamba aliye kufa kafa hakuna kumfufua wala kumkumbuka hata kwa jina na Mama yangu aliye hai Yuko hai hafi mtu hapa Kweli inasikitisha sana KILICHO baki Kama NI UCHUMBA tumechunguzana muda mrefu kama dosari tumeziona kilicho baki ni KUFUNGA NDOA AU KUACHANA KWISHA ZAIDI YA HAYO MAWILI NI LONGOLONGO Watanganyika TUJITAMBUE!
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dunia nzima inahubiri kuungana baada ya kugundua faida zake. Wewe unaishi sayari ipi?
   
 3. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Mwanangu muungano wowote hapa kwenye sayari yetu uwe na tija kwa wanao ungana na ni sababu sababu tosha kwa zile nchi zilizo lazimishwa kuungana zinatengana mf ussr na zilizo tenganishwa bila ridhaa ya wananchi sasa wanaungana mf Ujerumani etc muungano wowote kwanza uwe na ridhaa ya wahusika wote bila unafiki huwezi ukaokota udongo wa nchi hii na ile ukachangana kwenye kibuyu ukaita muungano eti watu leo Duniani wanataka muungano sidhani leo atokee mtu atulazimishe tuunganishe nyumba zetu kama utakubali lakini kwa ridhaa yetu sisi INAWEZEKANA! Ninaomba dua uwe hai uone kwa macho yako zenj na Tanganyika zikiridhiana aidha KUUNGANA AU KUTENGANANA INSHAALAH!
   
 4. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Mwanangu muungano wowote hapa kwenye sayari yetu lazima uwe na tija kwa wanao ungana mdio maana kuna mataifa na lugha tofauti kwa hiyo ni sababu tosha kwa zile nchi zilizo lazimishwa kuungana zinatengana mf ussr na zilizo tenganishwa bila ridhaa ya wananchi sasa wanaungana mf Ujerumani etc muungano wowote kwanza uwe na ridhaa ya wahusika wote bila unafiki au faida ya pande moja Huwezi ukaokota udongo wa nchi hii na ile ukachangana kwenye kibuyu ukaita muungano Eti watu leo Duniani wanataka muungano Sidhani leo atokee mtu atulazimishe wewe na mimi tuunganishe nyumba zetu haitowezekana hata Dunia nzima itupigie kelele Ila kama wewe na mimi tutakubaliana kwa ridhaa yetu INAWEZEKANA! hata dunia nzima ipige kelele Ninaomba dua uwe hai uone kwa macho yako zenj na Tanganyika zikiridhiana aidha KUUNGANA AU KUTENGANANA INSHAALAH!
   
Loading...