Sasa tunazaa kwa uchungu na kula kwa jasho

Sasa tunazaa kwa uchungu na kula kwa jasho

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,106
Reaction score
17,459
Hakiya nani! Ni nani wamekosea hapa, wanawake, wanaume au maandiko?

Adhabu kwa mujibu ya maandiko takatifu ni kuwa pale kwenye bustani ya Aden Adam alipewa adhabu ya kuanza kula kwa jasho na Eva aanze kuzaa kwa uchungu.

Kinachotokea leo ni akadabla, wanawake wanalilia kuzaa na kula kwa uchungu (50% kwa 50%), pia wako wanaume wanaolelewa na wanawake huku mitaani na wameikimbia adhabu ya kula kwa jasho tena.

Swali, wapi tumekosea? na tutarekebishaje ili wanawake waendelee na adhabu yao tu ya kuzaa kwa uchungu na wanaume waendelee kuvuja jasho kulisha familia zao?

Watu wa dini mnasemaje, zile aya zilizosema hivyo zifutwe?
 
kinachotokea ni kuwa maisha yebadilika na baadhi ya wanaume hawataki kutimiza wajibu wao, au upande wa pili wadada wanataka kuwa na watoto tu mwisho wa siku yeyey ndio baba na mama pia. anazaa kwa uchngu na kula kwa jasho pia
 
Huwa hatufuti aya, lakini wanawake mmezidi sana! MKOME
 
Hayo mambo ya 50% kwa 50%,hayatakaa yakasimama kamwe.Si kwa vikao,warsha,semina,semina elekezi,makongamano, wala mizimu.Mpaka pale wanaume wawe wanakwenda "anga za mbali" na kushika mimba na wanawake wawe na mapupu
 
Yawezekana wanawake wameamua kupora "confidence" zisizo zao kwa nguvu.Wezi wa confidence.Asione Masaidada hapa,lol!
 
misikubali mwanaume aache kukamata majukumu yake eti mimi nimsaidie sikubali bora niishi pekeyangu tuu ijulikane tumeachana khaa, wanawake msiwaendekeze wanaume, Kama hataki kutii maandiko matakatifu akupishe ujulikane huna mume.
 
Back
Top Bottom