tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,121
Baada ya jana kushuhudia ung'oaji wa tairi za vifaa vya moto vinavyopita kwenye barabara ya mwendo kasi ikiwa ni utii wa agizo la rais, sasa ni bayana kila analo ongea rais wetu sio utani. Hivyo nawaalika watanzania tuanze kufyatua watoto kufuatia agizo la rais kwamba tufyatue watoto maana serikali yake itawahudumia sisi ni kuzaa tuu!!
asitokee mtu akasema ni utani . Kila anachokiongea rais ni lazma tutii. Tumechoka na utawala wa kufuata sheria zimetuchewesha sana. Kwa sasa ni mwendo wa matamko na lazma yatekelezwe. Nyie wana ccm iweni mfano wa kumtii rais kabla hamjashurutishwa namna ya kufyatua.wengine watafata nyuma yenu.
Nikumbushe amri zingine za mheshimiwa nianze kuzitekeleza kabla sijashurutishwa. Kwa sasa nakumbuka la kufyatua watoto na kung'oa tairi .