Sasa technologia inakua,.nimeamini!!!!!!

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
198
[h=5]Nchini Rwanda kumeanzishwa GAZETI kila unapoisoma habari na kuimaliza HUFUTIKA,.nia ni kukomesha VISHOKA wa kuazima magazeti nao wakanunue hasa wa kwenye vyombo vya usafiri maarufu hapa kwetu kama DALADALA,.Ila kuna dosari ndogo imejitokeza baada ya malalamiko ya WATEJA wengi kuwa wapandapo ndani ya daladala na kusoma habari hii kumbe kuna mtu nae anapiga chabo kwa pembeni kwenye habari nyingine,mhusika ukija kuisoma unakuta tayari IMEFUTIKA,.Wanalifanyia kazi wahariri na wamiliki wa hilo GAZETI.,Tunaomba waziri wa habari afuatilie Technologia hii Rwanda ailete hapa labda inaweza kutusaidia na sisi.,[/h]
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom