Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,523
- 24,010
Tukubali tusikubali. Mpira ni pesa. kama unabisha endelea kubisha. mpira unataka Pesa angalia TP Mazembe, angalia huko ulaya na Marekani. Mpira unataka pesa. Bila pesa Mpira hata Vipaji vitakufa. SImba ni Team nzuri inakosa Morali mmoja mkubwa sana. Pesa. Pesa. Pesa. Yanga wamekuwa na Manji mwenye pesa ndiye anasababisha washinde "kwa hali na mali" ndani na nje ya uwanja.
Huu ni ukweli ambao tunaujua wachache sana ambao tuliamua kuweka ushabiki pembeni. kuna game Yanga huwa inawezekana kabisa kufungwa lakini inashinda kwa sababu inapesa. so inaandaa kushinda. Mpira watu hucheza nje ya uwanja wakati mwingine ndani ya uwanja ni kupigilia tu Misumali ya mwisho au kuthibitisha Ushindi. Kuna team huwa zimeshakubali kushindwa nje ya uwanja na kwa kuwa haziwez kuweka mpira kwapani kurudi makwao huwa zinaingia uwanjani kuweka tu ushahidi. harakati zote hizi zinataka pesa
Simba inakosa pesa, mbaya zaidia inakosa umoja. apewe Tajiri huyu ambaye hata Yanga wanaogopa kuwa kama akichukua Hii Team hali yao pia itakuwaje? je wataweza kuendelea na yale maneno kuwa wanatumia pesa zao vibaya kwa wachezaji wa tema pinzani wasio na kipato kikubwa? Tumeshuhudia wachezaji kadhaa wa Simba wakisemwa kuwa wanauza mechi wakutanapo na Yanga kwa kufanya makosa ya Makusudi n.k lakini haya yooooote chanzo nini? ni pesa jaman. kama utabisha bisha tu.
Mishahara ya wachezaji, kununua wachezaji wakali na kuleta mshikamano kunatokana na pesa ..uliza kila sehemu PESA ,PESA, PESA NDIYO SABUNI YA ROHO. kuna watu wapo Ismba bado roho zao zinauchafu,zina makwazo,zina ukungu kutokana minyukano na misuguano iliyotokea kipindi cha uchaguzi hawa hawawezi takakata kama pesa haijatumika ipasavyo. Mo dewk apewe timu miaka 2 then Team iangaliwe inafanyaje.
Hayo ni maoni yangu kwa kuangalia namna ambavyo team yetu imekuwa ikiharibika kadri siku zinavyoenda.