ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Wamefanikiwa TLS sasa waende hadi chama cha walimu, chama cha madaktari, tucta, vyama vya wakulima, na maeneo mengine ili kuwaweka viongozi ambao wana misimamo thabiti kama Tundu Lissu. Hawa viongozi waliopo sasa ni mapandikizi ya chama tawala na hawapo kwa ajiri ya watu wao wapo kwa ajiri ya matumbo yao, wakiambiwa tu mimi sitishiwi wanabaki kujamba jamba tu. Tunataka viongozi wenye uthubutu wnaoshikiria misimamo yao watakao ijambisha serikali kama TLS . Hatuoni serikali inavyojambajamba kwa TLS. Jumuiya zote inabidi wawe hivi .