Sasa ni wakati Mwanasheria Tundu Lissu kuonyesha umahiri kwa Tuhuma dhidi ya Lema na Lijualikali

Wewe ni mahiri kwa sasa katika masuala ya sheria nchi nzima kwa jinsi inavyoonekana.

Hebu fanya uweazalo umtoe Lema na lijualikali gerezani,kwani huko si pazuri na wanateseka sana.
Pia tunawahitaji kwenye majimbo yetu kwa ajli ya kusukuma maeendeleo
Hembu fungua akili yako utazame kwa jicho la tatu utagundua kitu na utajua kwa nini Lisu hajaenda kwenye.hizo kesi ukitumia 1% kufikiri ndio utaona hawapo sawa lakini ukitumia100% huwezi pata shida kuelewa
 
Wewe ni mahiri kwa sasa katika masuala ya sheria nchi nzima kwa jinsi inavyoonekana.

Hebu fanya uweazalo umtoe Lema na lijualikali gerezani,kwani huko si pazuri na wanateseka sana.
Pia tunawahitaji kwenye majimbo yetu kwa ajli ya kusukuma maeendeleo

msukuma wa magogoni akiheshimu sheria hakuna kes hapo, tatizo yule baba anawatishia majaji
 
Du! Kweli Kick hii kali!!
Mpeni tu
Mwisho wasiku mwendo ni uleule
TEH TEH
YULE SHAHIDI WENU UCHWARA HOI. ONA HAPA
LISSU, Kwa ufahamu wako uchaguzi huo wa
Oktoba 25, 2015 ulifanyika kisheria na ulifutwa
kinyume cha sharia na Mwenyekiti wa Tume ya
Uchaguzi ya Zanzibar Jecha Salum Jecha ni kweli
au si kweli?

SHAIDI: KWELI
 
Ni kwa mujibu wa mbunge wa mikumi professor J,baada ya kwenda kumsalimia Lijualikali ,kutana na millard ayo,
 
Wananchi mbona hatuoni wakisaidiwa hivi na jguvu zote hata hiyo katiba inayolikiwa na upinzani?
 
Atarukaruka sana mwishoe ataanguka.
Nazi haiwezi shindana na jiwe.

Lissu n Nazi na Serikali n Jiwe.

Amn maneno yangu ,one day yes
 
Back
Top Bottom