Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Nimeona nimkumbushe Mh Rais wetu Mtukufu Dr Magufuli. Kuwa huu ndo wakati muafaka wa kumkamata Aliyetangazwa dunia nzima kuwa ni fisadi Mh E.Lowassa.
Nakumbuka wakat wako wa Kampen ulisema utawakamata mafisadi na kuwaweka ndani pasipo kuwaangalia sura zao. Najua toka umeingia madarakani umekuwa busy sana mheshimiwa. Najua wasaidizi wako walishasahau jambo hili. Lakini mimi mtanzania mzalendo nakukumbusha kuwa huyu ambaye tanzania ilifahamishwa kuwa ni fisadi yupo mtaani mpaka leo.
Nakumbuka naye kwa kujiamini kabisa alisema anataka apelekwe mahakaman. Najiuliza why hajapelekwa kwenye hizi mahakama ulizsema utafungua za kifisadi? Nasikia kuna wengine kwenye kampeni zako hukutaka hata kuwashika mikono kwa sababu hawakuwa wamenawa au hawakuwa na mikono misafi.
Huoni kuwa mheshimiwa huu ndo wakati wenyewe sasa hasa ukichukulia mengine yote yameshapita. Wale wa madawa wamekamatwa na wengine uliwafukuza kazi wamerudi kutulia kuendelea maisha yao na mapesa waliyotuibia.
Drug Series Season 2 hii imeshindikana kuendelea episodes zimeishia 3 tu.
Sasa tuletee kitu cha ukweli kuhusu mafisadi na wa kwanza kupelekwa mahakaman awe edward lowassa. Tunataka watanzania waone una nia dhabiti ya kupinga madawa ya kulevya.