Pasipo kuweka hdharani mashaka yake kuwa kiwango cha Simba sasa hivi hakiwezi kuwapa changamoto ya mazoezi ya nguvu, Kocha wa team ya Sofapaka aliliambia gazeti 1 la michezo linalotoka katikati ya wiki kuwa kila mtu katika team yao amesikitika baada ya kusikia kuwa watacheza na Simba badala ya Mabingwa wa kusakata kabumbu ukanda mzima wa Africa Mashariki na kati na kule kwa waalikwa Dar Young Africans,almaaruf kama Yanga.
Ninakubaliana naye asilimia (%) 120,unapomfunga mpinzani wako goli 3 bila a.k.a 3 - Mtungi, a.k.a 3 - Yai, a.k.a 3 sifuri, a.k.a 3 sufuri,a.k.a 3 nini sijui etc,etc ni dhahiri hakuna kipya ulichojifunza.
Poleni Sofapaka kilicho wagharimu ni kitendo cha Yanga kuwaa team inayokwenda na Program za UlayaX2 tofauti na hao Wazee wa 3 -Bila
Niki'recall tu, 3 - O dhidi ya Azam, 3 - 0 dhidi ya City Stars ya Nairobi, 3 - 0 dhidi ya Sofapaka ya Kenya, 3 - 0 dhidi ya nani sijui team ya maana itakayokuja.
3 - 0, 3 - 0, 3 - 0,........my GOD!
Acha kudanganya wana jamii wewe Anselm, Azam ilimfunga lini Mnyama 3 bila? Ilikuwa 3:1, pia Nairobi City Stars ilikuwa 3:1, kwahyo ONDOA hyo comment yako then uandike tena maana umeandika UONGO

nyie si mmepata wimboMbona hau recall hii? nyie simba mmpata wimbo huo huo mbona unasahau thalatha,thalatha,thalatha......bado ligi haijaanza kichapo kinakuja kutoka kwa wafalme wa afrika mashariki ....yanga
nyie si mmepata wimbo
Mmebaki kuzungumzia HISTORIA sasa hv,subirini hiyo tarehe 3 October ifike..
Kweli aminia sana yanga