nataka kujua
Member
- May 1, 2014
- 31
- 5
makazi yangu arusha umri 29yrs rangi kidogo mweuc kimo cha kati kazi okey kimaisha nimesha yanza ninanyumba ya kisasa natafuta wakujenga
naye familia sifa awe mchamungu mweupe anizidi urefu au tuwe sawa elimu diploma makazi arusha mjini mwalimu nita mpenda zaidi pia awe na moyo wakufanya biashara TAHADHARI UCTUKANA HII NDIO NJIA NILIO ONA NISAHIHI KWANGU NA NINAAMINI NITAPA MKE MWEMA