Sasa nataka "kimwana",am very serious on this!!

Lsk

Senior Member
Oct 10, 2011
178
26
Ninahitaji binti serious,ambaye nataka kujenga naye urafiki na hatimaye kuwa mkewangu. Km kuna binti serious kwa hili na km atakadhi sifa zifuatazo,naomba ani-PM. SIFA: Awe tayari kupima UKIMWI. Awe na umri kati ya miaka 18-28. Awe muumini wa dini wa Kikristu.. Awe ni elimu ya Kidato cha Nne na kuendelea. Awe ni kutoka kabila lolote kati ya Makabila ya Tanzania tu. MIMI NI MKRISTO MCHA MUNGU,MWENYE UMRI WA MIAKA 33 NA KIELIMU NI "GRADUATE" NINA KADIGRII.
 
Umeisha mpata mkuu, just bofya hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...8-jf-ilinikutanisha-na-tapeli-wa-mapenzi.html
Yupo kwenye mawindo kama wewe na ameisha umizwa, so mliwaze kisha..............................
 
Baba mimi nina sifa hizo but nataka kujua bank account yako please.
 
sugua Goti kijana ule Gharama usitake vya uraisi vina gharama yake for future1
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom