Sasa nashuhudia rasmi anguko la CCM

Sasa nashuhudia rasmi anguko la CCM

Ndiyo maana hata Lowassa kawambia hawa jamaa zake.

1)Elimu

2) Elimu

3) Elimu

Unadhani alikuwa anawalenga nani ni hawa Bavicha anawajua walivyo watupu.

Hahahaha.Magamba leo nimewapa cha kuzungumza. haya neng'enekeni mpaka kukuche.
 
Inasemekana benki kuu hakuna hata senti tano iliyobakishwa kwani kuna mfanya biashara maarufu aliyekuwa akihitaji fedha zake Kwa ajili ya kuendesha shughuli zake ikiwemo kulipia mzigo wake uliokwama bandarini kaambiwa hakuna hata mia hivyo asubirie kama CCM ikishinda atarejeshewa fedha zake kwani fedha nyingi za watu zilizokuwa benki kuu CCM wanazitumia kufanya kampeni na kuhonga watu.

Nawaasa CCM kuwa makini na fedha za watanzania wasizifanyie masikhara LA sivyo wataipeleka nchi pabaya.

Mwigulu na wenzenu wenye uchu wa kuendelea kutawala nchi kimabavu huku mkitumia Mali za watu kujipatia madaraka kuweni makini.

#hii ni kali, jaman Bring our #money
 
Aisee!! Mkapa kweli hakukosea kuwaita malofa daah!!.

Mkuu kumbe mtupu kiasi hiki wakati mwingine kukaa kimya ni bora unaficha upumbavu wako.

Hebu nifahamishe jinsi ya kufungua account BOT process zinakuaje?
Come on .. he just miswrote it! Kamtaja Mwigulu & wenzake, kwa hiyo alimaanisha hazina!
 
Hahahaha.Magamba leo nimewapa cha kuzungumza. haya neng'enekeni mpaka kukuche.
1)Elimu

2) Elimu

3) Elimu

Ngoja nikupe darsa kiduchu...

Benki Kuu ya Tanzania-ni benki ya kitaifa inayosimamia masuala ya kibenki na kifedha. Makao yake makuu yapo-Dar es Salaam nchini-Tanzania. Kati ya majukumu yake ni utoaji wa fedha za Tanzania,-Shilingi ya Tanzania.Benki Kuu ya Tanzania iliundwa na-Sheria ya Benki ya Tanzania 1965. Mwaka 1995, baada ya kuonekana kuwa benki hii ina majukumu mengi kuzidi uwezo wake,-Sheria ya Benki ya Tanzania 1995-ilipitishwa na kuipa benki hii jukumu moja ambalo ni kusimamia sera ya fedha nchini.
 
Come on .. he just miswrote it! Kamtaja Mwigulu & wenzake, kwa hiyo alimaanisha hazina!
Teh teh teh!!

Mkuu bora ungekaa kimya kuliko kutetea ujinga.

Wapi kamtaja Mwigulu? Tuonyeshe.
 
Nimegundua kumbe chambo cha kuwavuta vijana wa CCM hapa ni kuandika post yenye makosa kidogo. Hawa jamaa walio Comment hapa ni week imepita walikuwa wana mwacha Mr Chin anasulubiwa kwa uongo wake. Ngoja niwaulize.. Vipi CCM bado mnafikiri itashinda?
 
Mkuu vipi kamanada Mbowe ndio alikueleza haya au uliyatoa kwa kamanda Lissu maana ulivolipuka kama bomu la Hiroshima sina ham na wewe
 
Mwingine kalipuka eti hazina makamanda wenzangu mfiche aibu hizi kujifanya mnajua kumbe madebe matupu
 
Inasemekana benki kuu hakuna hata senti tano iliyobakishwa kwani kuna mfanya biashara maarufu aliyekuwa akihitaji fedha zake Kwa ajili ya kuendesha shughuli zake ikiwemo kulipia mzigo wake uliokwama bandarini kaambiwa hakuna hata mia hivyo asubirie kama CCM ikishinda atarejeshewa fedha zake kwani fedha nyingi za watu zilizokuwa benki kuu CCM wanazitumia kufanya kampeni na kuhonga watu.

Nawaasa CCM kuwa makini na fedha za watanzania wasizifanyie masikhara LA sivyo wataipeleka nchi pabaya.

Mwigulu na wenzenu wenye uchu wa kuendelea kutawala nchi kimabavu huku mkitumia Mali za watu kujipatia madaraka kuweni makini.

Bavicha ndio maana mnaitwa Malofa, Wapumbavu, Nyumbu, Wanywa viroba, Vilaza.....!!!!

Usiwe unakurupuka kuandika kitu usichokijua.......Kama vipi rudi shule.
 
Hahaha... hivi unajua maana ya Benki kuu... naamini siku ukijua maana ya Benki kuu na kazi zake utajuta sana kupost utumbo wa kuku

Pamoja na majukumu mengine benki kuu hulipa (malipo ya serikali kwa wadeni wake)
 
Back
Top Bottom