Sasa nashuhudia rasmi anguko la CCM

Sasa nashuhudia rasmi anguko la CCM

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,370
Reaction score
27,786
Inasemekana benki kuu hakuna hata senti tano iliyobakishwa kwani kuna mfanya biashara maarufu aliyekuwa akihitaji fedha zake Kwa ajili ya kuendesha shughuli zake ikiwemo kulipia mzigo wake uliokwama bandarini kaambiwa hakuna hata mia hivyo asubirie kama CCM ikishinda atarejeshewa fedha zake kwani fedha nyingi za watu zilizokuwa benki kuu CCM wanazitumia kufanya kampeni na kuhonga watu.

Nawaasa CCM kuwa makini na fedha za watanzania wasizifanyie masikhara LA sivyo wataipeleka nchi pabaya.

Mwigulu na wenzenu wenye uchu wa kuendelea kutawala nchi kimabavu huku mkitumia Mali za watu kujipatia madaraka kuweni makini.
 
Toka lini BOT wakawa na accounts za watu binafsi?
 
unapotosha

Aisee!! Mkapa kweli hakukosea kuwaita malofa daah!!.

Mkuu kumbe mtupu kiasi hiki wakati mwingine kukaa kimya ni bora unaficha upumbavu wako.

Hebu nifahamishe jinsi ya kufungua account BOT process zinakuaje?
 
Aibu tupu!!!! Aibu sana! Mkapa was right!
 
Hahaha... hivi unajua maana ya Benki kuu... naamini siku ukijua maana ya Benki kuu na kazi zake utajuta sana kupost utumbo wa kuku
 
chakii .. kitu usichokojua usikilete huku una wapa bichwa hawa magamba ya lumumba.... inasikitisha though
 
Duuh unajua some time no bora ukae kmya tyu kuangalia nn watu wanaandka hebu as not duuh
 
Aisee!! Mkapa kweli hakukosea kuwaita malofa daah!!.

Mkuu kumbe mtupu kiasi hiki wakati mwingine kukaa kimya ni bora unaficha upumbavu wako.

Hebu nifahamishe jinsi ya kufungua account BOT process zinakuaje?

Ha ha ha mkuu kwani malofa bado wanaishi Tanzania?
 
Aibu tupu!!!! Aibu sana! Mkapa was right!
Ndiyo maana hata Lowassa kawambia hawa jamaa zake.

1)Elimu

2) Elimu

3) Elimu

Unadhani alikuwa anawalenga nani ni hawa Bavicha anawajua walivyo watupu.
 
chakii .. kitu usichokojua usikilete huku una wapa bichwa hawa magamba ya lumumba.... inasikitisha though
Kamanda!! Bavicha mwenzako kachemka unawapa lawama Lumumba.

Huu ni msiba.
 
jamani haya yote ni madhara ya ccm hawakuwapatia watanzania elimu akawafanya malofa na wapumbavu sasa unashangaa nini msimbeze muelewesheni bot ni regulatory ya banks na kusecure deposits za banks atawaelewa pia
 
Hahahaha.

Magamba leo nimewapa cha kuzungumza. haya neng'enekeni mpaka kukuche.
 
jamani haya yote ni madhara ya ccm hawakuwapatia watanzania elimu akawafanya malofa na wapumbavu sasa unashangaa nini msimbeze muelewesheni bot ni regulatory ya banks na kusecure deposits za banks atawaelewa pia

Hahahaha.Magamba leo nimewapa cha kuzungumza. haya neng'enekeni mpaka kukuche.
 
Mkuu unaweza kukuta huyu mleta hii mada ni mgombea ubunge wa UKAWA/Chadema na hizo ndiyo data zake anazozitumia kuomba kura.

Back
Top Bottom