linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Utafiti wa watoto 3:4 sio wa mme wa ndoa unazidi kuthibitika hapa. Hili lijamaa linajiona lijanja linafikiri wanawake ni malaika hawachepuki.. Aaathubutuuumaana huu mchepuko naugonga unanimaliza nguvu then nikiwa home mke wangu naye ananitoa hamu hivyo nakuwa na double burden.