Sasa naamini Zitto aliwekewa mizengwe

Sasa naamini Zitto aliwekewa mizengwe

Kwa yooote yanayoendelea Sasa ndani ya CDM, kwa kula matapishi yao na kutuaminisha Lowasa Ni safi na anafaa kutuongoza, naanza kuamini ndg Zitto aliwekewa mizengwe ndani ya chadema ili atoke.

Mkuu, ulimsikia Lowasa alichosema kuhusu tuhuma dhidi yake katika Richmond ? Hebu fikiria kama ungekuwa wewe ndo mwenye maamuzi, mtu akuhahakishie mbele ya hadhara kama ile kwamba kulikuwa na ,aelekezo kutoka Mamlaka za Juu kuhusu kutovunja mkataba wa Richmond ungeendelea kumtuhumu ?? Sasa hayo Mamlaka ya Juu yajitokeze na kukanusha kuwa hayakutoa malekezo kuhusu Richmond. Aidha, nathani kuna mambo mengi ambayo Lowasa aliwaeleza hawa UKAWA hadi wamkubalie kuingia kwao, vinginevyo, kwa jinsi walivyokuwa wanamsema vibaya wangemkaribisha kama kweli wana nia nzuri na maendeleo ya Upinzani nchini. Halfu post yako ya kwanza tu inaonyesha kuwa huenda umeingia kwa ID nyingine kwa makusudi maalum !!!!
 
ZITTO HAKUHUJUMIWA

mwanzo nilikua na mawazo kama yako ila zitto alivyoitwa eatv alikiri kwa kinywa chake mwenyewe ALIANZISHA CHAMA NDANI YA CHAMA kwa kinywa chake jambo ambalo linaashiria usaliti wa hali ya juuu,hii sija hadithiwa nimemshuhudia mwenyewe
nilikua na imani sana na huyu bwana na katu sikutaka kuamini kwamba alifanya ho Ila kwa kinywa chake alisema "lazima ifikie wakati tuenndeleee na mambo mengine na sasa sitaki kuiongelea chadema maana tayari nilishaanzisha chama wenzangu wakatangulia na mimi nikafata" Ni kama ulimi uliteleza tu akaongea lakini ile siku sitohisahau maana huyu jamaa nilikua namuamini sana

so ZITTO HATA AKIPEWA NCHI ANAWEZA KUANZISHA NCHI NYINGNE NDANI YA NCHI
 
pole maana naisikia sasa mnalipwa kwa tabu sana buku saba ndio inayokufanya uweweseke pole sana ndio ccm bye bye
 
Mkuu, ulimsikia Lowasa alichosema kuhusu tuhuma dhidi yake katika Richmond ? Hebu fikiria kama ungekuwa wewe ndo mwenye maamuzi, mtu akuhahakishie mbele ya hadhara kama ile kwamba kulikuwa na ,aelekezo kutoka Mamlaka za Juu kuhusu kutovunja mkataba wa Richmond ungeendelea kumtuhumu ?? Sasa hayo Mamlaka ya Juu yajitokeze na kukanusha kuwa hayakutoa malekezo kuhusu Richmond. Aidha, nathani kuna mambo mengi ambayo Lowasa aliwaeleza hawa UKAWA hadi wamkubalie kuingia kwao, vinginevyo, kwa jinsi walivyokuwa wanamsema vibaya wangemkaribisha kama kweli wana nia nzuri na maendeleo ya Upinzani nchini. Halfu post yako ya kwanza tu inaonyesha kuwa huenda umeingia kwa ID nyingine kwa makusudi maalum !!!!
Tatizo sio kwamba alihusika au hakuusika tatizo ni jinsi chadema walivyomchafua.
Dr Slaa yupo kimya mana anaona aibu kwa ile list of shame.
 
Utasemaje alihujumiwa wakat yote yaliyotabiriwa juu yake yalitimia
 
HEBU TAFAKARI KWA KUTUMIA NYENZO ZA KITAALUMA! mwizi gani au mgni gani huwa anakubali madhambi yake kama si kusingizia" nililazimishwa" "shetani alinipitia!!" Hiki ni kipindo kinachohitaji tafakuri za hali ya juu You have to read between the lines! Kwanini hakujiuzulu?
 
Mkuu, ulimsikia Lowasa alichosema kuhusu tuhuma dhidi yake katika Richmond ? Hebu fikiria kama ungekuwa wewe ndo mwenye maamuzi, mtu akuhahakishie mbele ya hadhara kama ile kwamba kulikuwa na ,aelekezo kutoka Mamlaka za Juu kuhusu kutovunja mkataba wa Richmond ungeendelea kumtuhumu ?? Sasa hayo Mamlaka ya Juu yajitokeze na kukanusha kuwa hayakutoa malekezo kuhusu Richmond. Aidha, nathani kuna mambo mengi ambayo Lowasa aliwaeleza hawa UKAWA hadi wamkubalie kuingia kwao, vinginevyo, kwa jinsi walivyokuwa wanamsema vibaya wangemkaribisha kama kweli wana nia nzuri na maendeleo ya Upinzani nchini. Halfu post yako ya kwanza tu inaonyesha kuwa huenda umeingia kwa ID nyingine kwa makusudi maalum !!!!

Angekuwa wewe ungekubali kwamba ulifanya hivo? Tunasema MTU yeyote yule ukishampa uwanja wa kujitetea lazma atakupa evidence na ukubaliane na maelezo yake tu, inabd sometime tuwe na maamuzi na sio kushadadia na kushangilia mambo ambayo hayafai hata kdogo, watu was CDM walishasema huyo MTU hafai Leo hii the same person anapewa sifa kede kede....wakati wa kufata mikumbo umeisha sasa HV tunaangalia namna ya kuweka nchi yetu kwenye usawa.. eti MTU anasema jamaa ilibd tumpokee maana ana watu wengi nyuma yake, lakn hajiulizi kwa nini mtu huyo alifanya nn hapo nyuma na kwa nini kama aliona CDM inamfaa hakuhamia mapema had I asubili akataliwe ndo aanze kukimbia kimbia tu. Mnatupeleka kwenye mambo magumu sana
 
Unajua mtu muongo utamjua tu eti huyu lowassa anadai alikuwa na kikao cha wataalamu wa mikataba akawaambia eti huu mkataba tuuvunje wao wakasena ngoja kidogo,wakatoka kwa muda waliporudi wakadai eti tumewasiliana na mamlaka ya juu na tumeambiwa tuendee nao,hivi nan8 asiyejua kuwa mamlaka ya juu ni raisi,na nani asitejua kuwa waziri mkuu ana mawasiliano ya moja kwa moja na rasi?
Yaani watu wadogo wamwambie waziri mkuu wamewasil8ana na raisi bila yeye kuongea na raisi kuthibitisha hilo?
Mnasahau kuwa kamati ya mwakyembe ilimwita l9wassa zaidi ya mara 3 khhojiwa akakataa na alikuja zusha uongo kwamba yeye hajahojiwa?
Ccm haiwezi kutishwa na mtu mmoja ambae yeye anataka akiburute chama atakavyo,kama amefanikiwa kuwaburuta chadema basi ni hukihuko kwa ccm no and the big no
Yeye ausubiri mziki wa tingatinga maguful8 na si hivyo tu angoje aone ushahidi wa suala lake utakavywekwa hadharani wakati wa kampeni
 
Lakini Mkuu, wewe ni Msemaji wa Mamlaka ya Juu alioitaja Lowasa ? Mbona yenyewe iko kimya, kwa Kitengo cha Mawasiliano ya Mamlaka ya Juu kina kazi gani.
 
Angekuwa wewe ungekubali kwamba ulifanya hivo? Tunasema MTU yeyote yule ukishampa uwanja wa kujitetea lazma atakupa evidence na ukubaliane na maelezo yake tu, inabd sometime tuwe na maamuzi na sio kushadadia na kushangilia mambo ambayo hayafai hata kdogo, watu was CDM walishasema huyo MTU hafai Leo hii the same person anapewa sifa kede kede....wakati wa kufata mikumbo umeisha sasa HV tunaangalia namna ya kuweka nchi yetu kwenye usawa.. eti MTU anasema jamaa ilibd tumpokee maana ana watu wengi nyuma yake, lakn hajiulizi kwa nini mtu huyo alifanya nn hapo nyuma na kwa nini kama aliona CDM inamfaa hakuhamia mapema had I asubili akataliwe ndo aanze kukimbia kimbia tu. Mnatupeleka kwenye mambo magumu sana
Ni kweli nisingekubali. Lakini pia nisingethubutu kusingizia Mamlaka iliyokuwa Juu yangu enzi hizo, najiaminije hadi kufikia kusema neno kubwa kama hilo ?
 
Tatizo sio kwamba alihusika au hakuusika tatizo ni jinsi chadema walivyomchafua.
Dr Slaa yupo kimya mana anaona aibu kwa ile list of shame.
Nathani walikuwa wanatumia taarifa ambazo walikuwa wamepewa ambazo kila mtanzania alikuwa ameanishwa hivyo kwa kuwa zilikuwa zinatoka kwenye taasisi kubwa za Seikali, na asingeweza kwenda kinyume ilhali yuko ndani. Sasa amekuwa huru amesema ukweli, sasa CDM wamejua ukweli ulivyo ndo maana wamemsamhe kwa kuwa walimtendea hivyo bila kujua undani wa jambo lenyewe. sasa ni wajubu waliokuwa wanasema kuwa yeye ni fisadi hadi kumlazimisha kujiuzulu, wathibitishe kuwa aliyoyasema sio kweli.
 
Mkuu, ulimsikia Lowasa alichosema kuhusu tuhuma dhidi yake katika Richmond ? Hebu fikiria kama ungekuwa wewe ndo mwenye maamuzi, mtu akuhahakishie mbele ya hadhara kama ile kwamba kulikuwa na ,aelekezo kutoka Mamlaka za Juu kuhusu kutovunja mkataba wa Richmond ungeendelea kumtuhumu ?? Sasa hayo Mamlaka ya Juu yajitokeze na kukanusha kuwa hayakutoa malekezo kuhusu Richmond. Aidha, nathani kuna mambo mengi ambayo Lowasa aliwaeleza hawa UKAWA hadi wamkubalie kuingia kwao, vinginevyo, kwa jinsi walivyokuwa wanamsema vibaya wangemkaribisha kama kweli wana nia nzuri na maendeleo ya Upinzani nchini. Halfu post yako ya kwanza tu inaonyesha kuwa huenda umeingia kwa ID nyingine kwa makusudi maalum !!!!

Kauli ya maelekezo kutoka ngazi ya juu ni ya kitoto sana kwani alidai kuwa eti kuna mtu alitoka nje akaongea na simu karibu saa nzima kisha akarudi na kutoa kauli kuwa ngazi za juu wanasema mchakato uenedelee.Huu ni utapeli wa kisiasa kwani yeye kama mtendaji mkuu wa serikali iweje atuambie kuwa kuna ngazi za juu tena kwa njia ya simu? Ivi inaingia akili kuwa PM hawezi kuongea na raisi wake mpaka mtu wa kati ndio ALETE taarifa tena ya mdomo kwa maswala muhimu yanayohusu hatima ya nchi. umakini wake unapatikana wapi ikiwa alishiriki kupitisha jambo asililiamini tena kwa maelezo ya mtu aliedai alipigiwa simu toka ngazi za juu? Kwanini leo? kama yeye ni mtu safi kwanini muda wote huu amekaa kimya mpaka alivokatwa jina na kuhamia ukawa ndio aanze kusema haya? kama asingekatwa inamaana angbaki kimya uku akijua kuwa alishiriki katika kuhujumu nchi? wapi uadilifu wake katika hili?
 
ZZK = Zana Za Kilimo Mbeyaaaaaaaa. Kilianzishwa na CCM na wamekiua wao, Kiongozi Mkuu alipandikizwa na CCM na ndio iliyommaliza. Shikamoo Mbowe
 
Back
Top Bottom