Karibu kamanda uwanja ni wako.Plz wadau,naomba munikaribshe nipate changia mawazo yng jamani watz.
hayawi hayawi sasa yamekuwa ccm walidhani masiala.
hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
walimsahau mzee wa maamuzi magumu.......
CCM kwishney!! Safari hii tunaachana na mfumo mfu wa CCM!
unachekesha sana wewe mfumo upi?wakati mtu wa ccm ndo anakuja kuwaongoza nyie na chama chenu ,sijui mtapita wapi,
hayawi hayawi sasa yamekuwa ccm walidhani masiala.
hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
walimsahau mzee wa maamuzi magumu.......