Sasa inatosha: Ni wakati wa Benson Bana naye akubukwe

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Nadhani katika awamu hii ya tano wahadhiri wa chuo kikuu cha DAR ES SALAAM watampongeza sana rais wetu kwa namna alivyoinesha imani kwao na kuwapa nyazifa mbalimbali za kulitumikia taifa. Licha ya kuwa imekuwa neema kubwa kwao lakini Dr. Benson bana hajabahatika katika teuzi hizi. ni wakati sasa wa yeye naye kukubukwa maana kuwa na mchango chanya katika michango mbalimbali.

Naomba kuwasilisha
 
Akiteuliwa akaanza kazi kinyume na matarajio yenu msianze kashfa.
 
Naona tufike hatua tumuamini Raisi wetu na si kuanza kutaja watu ambao wengine ni either ndugu zetu au rafiki zetu na tunawapendekeza kwa Raisi ili na sisi tupate ahueni.

Tumuache Mkubwa
 
Back
Top Bottom