sasa huu ndo uvaaji gani

Subiri watu wenye mimacho yao waje kama wataona hivyo viatu vya kijani na sarawali ya kimajivu.
 
uvaaji wa biashara matangazo
 
diff kubwa,6*6 na lock diff hamna tope la kukwama
 
Huna lolote wewe.

Ulitaka tukiangalie kijungu.

Uongo dhambi, kijungu kinavutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…