Sasa huko iringa balaa tupu shule nzima walimu wawili daah

Sasa huko iringa balaa tupu shule nzima walimu wawili daah

Du hivi Mbunge wa Ludewa ni nani vile? huo M koa hakuna hata wabungeau hata wa upinzani (msigwa, lukuvi, makinda) mm bado siamini ni Tz hii
 
Hicho kibanda cha mbavu za mbwa hakina hadhi hata ya kuitwa choo wachilia mbali darasa. Pamoja na misaada mingi toka nchi za wafadhili na ongezeko kubwa la makusayo ya kodi ya mapato bado shule nyingi nchini ziko katika hali ya kukatisha tamaa.
 
wabunge waongezewe pesa wapewe laki 5... kumbe tz haadi vijijini watoto wanakula good time hivi? aaa wabunge waongezewe mshiko aisee wale bata tu kwa kwenda mbele.kama vipi hata tuandamane wapewe haki yao hawa wabunge wetu
 
Hicho kibanda cha mbavu za mbwa hakina hadhi hata ya kuitwa choo wachilia mbali darasa. Pamoja na misaada mingi toka nchi za wafadhili na ongezeko kubwa la makusayo ya kodi ya mapato bado shule nyingi nchini ziko katika hali ya kukatisha tamaa.
usisahau kuna migodi ya madini ilipunguziwa kodi .. kitu kama sikosei.. hiyo nyumba ya mwalimu utalalaje na mke wako hapo ndani? hivi huyo mwalimu analipwa mshahara kweli? ataluwa halipwi aisee ....haiwezekani ..na vyeti vyake vya ualimu kaviweka humo humo ndani kwenye kibanda chake . mmm nina maswali mengi ambayo hayana majibu . lol!!
 
Hiyo ni moja tu, nenda mikoa mingine kama Singida kwa Chiligati, nenda Tabora, Shy, Dodoma! shule ziko hoi bin taabani utadhani haziko kwenye majimbo ya uchaguzi. Hali ni mbaya mno, hao wanafunzi wanafaulishwa kisiasa, wanapangiwa shule za kata, wanakutana na walimu watatu Form 1 hadi Form 4, anatoka bila bila hata ualimu wa chekechea hawezi kusomea!! Harafu watu wanapiga kelele "Tumejenga shule nyingi, kiwango cha kufaulu kimeongezeka kwa 11.58%" Its bullshit!!
 
Mmh!!Hivi hiyo ndio elimu bora kwa kila Mtanzania?Na baada ya miaka miwili,mwl mmoja atastaafu.Hivyo itakuwa wanafunzi 200 kwa mwl 1.
 
Ndo hayo madarasa na nyumba za walimu wanazojisifia kuwa wamejenga? Aisee mpaka huruma jamani tubadilikeeeeeeee
 
Wananchi wa Ludewa amkeni,watoto wenu wanateseka na wabunge mnao.Hao wabunge wenu wana fanya nini bungeni?Au wanawaza kulea mizigo yao ya dhambi(vitambi) na kusomesha watoto wa sainti nanihiii?
 
Hiyo ndiyo elimu bora kwa kila mtoto?Au bora elimu?Hivi wakaguzi huwa wanatembelea shule hiyo?
 
[h=3]WALIMU WAWILI PEKEE WAFUNDISHA SHULE NZIMA PEKE YAO HUKO IRINGA[/h]

Nyumba ya mwalimu wa shule ya msingi Mchuchuma Ludewa
IMG_3369.JPG

[h=3]WALIMU WAWILI PEKEE WAFUNDISHA SHULE NZIMA PEKE YAO HUKO IRINGA[/h]

Nyumba ya mwalimu wa shule ya msingi Mchuchuma Ludewa

huyu mwalimu hata yeye elimu yake haijamsaidia? labda kama sio mzaliwa wa hapo ila lazima atakuwa ni mzaliwa wa hapo kwani hakuna mtu kutoka mkoa mwingine let say kilimanjaro utampa nyumba kama hiyo eti ni nyumba ya shule akakuelewa .. ataishia kukupinga ngumi na kuondoka zake ....
ok huyo mwalimu ni mzaliwa wa hapo.. na inawezekana hana elimu yoyote na kamaliza darasa la saba au UPE..
ok .. anashindwa kupiga matofali na kuyachoma na kujenga nyumba nzuri ya matofali? udongo bure.. kuni bure .. nguvu kazi hizo hapo zipo anaweza hata kuchukua wanafunzi kwa kuwaomba wamsaidie then mchana anawapikia chakula safi kabisa .. anashindwa huyu? JK aje amjengee nyumba itakuwa ni lini? mbunge wake aache kutetea posho aje amwamshe kujenga nyumba?....ningekutana naye ningemhoji maswali mengi tu... hana aibu kupigwa picha kwenye nyumba kama hiyo?.....siitetei serikali ila na yeye pia simtetei .. huyo ni mzaliwa wa hapo hapo...au hii jamii ukijenga nyumba nzuri unalogwa hadi kufa?? kuna siri nyingi hapo hatuwezi kujua ... this is more than ujima...
kudos!!
 
Wananchi wa Ludewa amkeni,watoto wenu wanateseka na wabunge mnao.Hao wabunge wenu wana fanya nini bungeni?Au wanawaza kulea mizigo yao ya dhambi(vitambi) na kusomesha watoto wa sainti nanihiii?
FYI: Ludewa kuna shule za msingi 102 wilaya nzima. Na hakuna shule inayoitwa s/m nchunchuma. Pls, Francis.
 
Yawezekana hilo ni jiko nyumbani kwa mwalimu na anakotizama ndo nyumba ya kulala ilipo. Shule ina sakafu ya matofali ya kuchoma haitakosa nyumba ya tofali kwa mwalimu!
 
FYI: Ludewa kuna shule za msingi 102 wilaya nzima. Na hakuna shule inayoitwa s/m nchunchuma. Pls, Francis.

Hata mimi naona kuna changa la macho. Hapa tusilete ushabiki hata kidogo mambo mengine tutumie akili hiyo nyumba si ya mwalimu hata kidogo. Tuache kukurupuka hapa
 
Hata mimi naona kuna changa la macho. Hapa tusilete ushabiki hata kidogo mambo mengine tutumie akili hiyo nyumba si ya mwalimu hata kidogo. Tuache kukurupuka hapa
usiongee kwa kuhisi .. hatuendi hivyo...wangetuwekea madarasa ya shule ya msingi rutihinda au muungano then waje kutuonyesha hiyo eti ndio nyumba ya mwalimu wote tusingekubali.. angalia madarasa na nyumba ya mwalimu havina uwiano?
 
Back
Top Bottom