Sasa hivi dawa ni kuwa mwanaume suruali tu, unabaki na hamu zako

Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu? Unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi.
Pole mkuu mi siku hiz naongaga mara moja nikishapiga papuchi sihudumii! sina hamu tela walivyonifanyia

Mkienda kupiga show unagharamia venue mnapeana starehe mkimaliza unamtoa na hela ya nauli lakini mwisho wa siku anakuja kukupiga mzinga utackia "baby wangu naomba laki moja nna shida".

Wakati yeye pia anafanya kazi na anakipato, yani sasa hivi dawa ni kuwa mwanaume suruali tu, unabaki na hamu zako, zikikuzidi unanunua mzigo unapiga unasepa hamna kung'ang'aniana.

Huu mwaka sitajisumbua kumuimpress mwanamke dadadeek!
 
hahahha.....mimi sipendi ujinga.Hapa ni team dume suruali kwenda mbele
Big up Mwana FA kwa kuibua hii kero!
 
Wadau naomba kujua,hivi mwaka huu kutakuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule za serikali?
 
Aisee wacha tu niwe naenda kwa macheni au pale ambiance nachukua natumia namalizana nao hapo hapo hii mambo ya kuambiwa nataka hela sijui ya saloon, mara handbag siwezi
 
Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu? Unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi.

Mkienda kupiga show unagharamia venue mnapeana starehe mkimaliza unamtoa na hela ya nauli lakini mwisho wa siku anakuja kukupiga mzinga utackia "baby wangu naomba laki moja nna shida".

Wakati yeye pia anafanya kazi na anakipato, yani sasa hivi dawa ni kuwa mwanaume suruali tu, unabaki na hamu zako, zikikuzidi unanunua mzigo unapiga unasepa hamna kung'ang'aniana.

Huu mwaka sitajisumbua kumuimpress mwanamke dadadeek!
starehe gharama
 
Pole sana... Kufilisika kupo... Wengine siyo watoaji tokea enzi hizo... Hii hali ya sasa kila mtu anajifanya hali ngumu...
 
starehe gharama
Sawa mkuu naelewa starehe gharama,ndo maana utakuta bata zote unalipa wewe,yeye hata sh.10 hachangii and u ar proud of it na unalipa kiroho safi tu,lkn mwisho wa cku anakupga mzinga kwa nn wkt na yeye anafanya kazi na hela anayo?!
 
*Zawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE:*
```1. Nyumba```
```2. Gari```
```3. Duka/biashara```

*Zawadi ambayo MWANAMKE humzawadia MWANAUME:*
```1. Vest```
```2. Boksa```
```3. Saa```

*Wanaume Tupimwe akili*
Hahahaaaaaaa
 
nakaa na wewe natafuta interest zako naanza kudili na interest zako wewe me nafaidi .. wewe huku ukijipa moyo kuwa sikuchuni lakini zinakutoka tu
Hahahaaaa!we mi hapo hunipati,mi ninaishi style ya wanywa pombe,kama pombe ntakununulia ukiniomba hela sikupi halafu nakupga chini!
 
*Zawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE:*
```1. Nyumba```
```2. Gari```
```3. Duka/biashara```

*Zawadi ambayo MWANAMKE humzawadia MWANAUME:*
```1. Vest```
```2. Boksa```
```3. Saa```

*Wanaume Tupimwe akili*
Hapa nimekusoma kula lyk
 
Back
Top Bottom