Sasa hivi dawa ni kuwa mwanaume suruali tu, unabaki na hamu zako

Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu?!unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi mkienda kupiga show unagharamia venue mnapeana starehe mkimaliza unamtoa na hela ya nauli lakini mwisho wa siku anakuja kukupiga mzinga utackia "baby wangu naomba laki moja nna shida" wakati yeye pia anafanya kazi na anakipato!Yani sasa hv dawa ni kuwa mwanaume suruali tu,unabaki na hamu zako,zikikuzidi unanunua mzigo unapiga unasepa hamna kung'ang'aniana!Huu mwaka sitajisumbua kumuimpress mwanamke dadadeek!
Ndio maana sometimes leasing Ni better kuliko ku own.
 
*Zawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE:*
```1. Nyumba```
```2. Gari```
```3. Duka/biashara```

*Zawadi ambayo MWANAMKE humzawadia MWANAUME:*
```1. Vest```
```2. Boksa```
```3. Saa```

*Wanaume Tupimwe akili*
Wenye pesa hawana hasara au kupungukiwa iwapo watalipa hisani ya kukatikiwa mauno,wewe na mimi makapuku lazima tushangae,eti kwa nini tumnunulie mwanamke nyumba au gari au kumzawadia mavitu mazuri au vipi?,tujiulize basi,mwanamke anajitoa muhanga anapanuka na sisi tunamtwanga kama kinu na mwichi,mwisho tunamkojolea kama choo,so hapo huoni ni lazima tumpe tuzo?kama tunazo pesa za kutosha haina shida hata kumnunulia mansion au estate,ila kama hatuna basi tuwe wazi kwa wapenzi wetu au vipi?,unamwambia baby sikiliza,mimi Karanja ni muuza karanga za kukaanga,sina pesa nyingi sana ila kwa matatizo madogo madogo kama vile elfu tano,kumi,ishirini mpaka hamsini hazinipi shida au vipi? ila zaidi ya hapo sina,akikuelewa sawa,na hakukuelewa sawa pia,muache aende zake au vipi?,sio kujifanya Pedeshee wakati uko matako wazi.
 
Nature. Mungu ndo alivo waumba
 
Isiishie kwenye mapenzi tu hata michango mbalimbali kama vile harusi.sherehe za kimila vyote ni kusitisha mwaka huuu kila mtu abebe msalaba wake.hata misiba mtu ameishafariki heti mnamsafirisha toka dar hadi Arusha kuzikwa kwann msizike hukohuko? Au heti baba/ndugu anaumwa anasafirishwa toka mabali hadi dar kwann hasitibiwe hukohuko?
 
Wenye pesa hawana hasara au kupungukiwa iwapo watalipa hisani ya kukatikiwa mauno,wewe na mimi makapuku lazima tushangae,eti kwa nini tumnunulie mwanamke nyumba au gari au kumzawadia mavitu mazuri au vipi?,tujiulize basi,mwanamke anajitoa muhanga anapanuka na sisi tunamtwanga kama kinu na mwichi,mwisho tunamkojolea kama choo,so hapo huoni ni lazima tumpe tuzo?kama tunazo pesa za kutosha haina shida hata kumnunulia mansion au estate,ila kama hatuna basi tuwe wazi kwa wapenzi wetu au vipi?,unamwambia baby sikiliza,mimi Karanja ni muuza karanga za kukaanga,sina pesa nyingi sana ila kwa matatizo madogo madogo kama vile elfu tano,kumi,ishirini mpaka hamsini hazinipi shida au vipi? ila zaidi ya hapo sina,akikuelewa sawa,na hakukuelewa sawa pia,muache aende zake au vipi?,sio kujifanya Pedeshee wakati uko matako wazi.
True that
 
Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu? Unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi.

Mkienda kupiga show unagharamia venue mnapeana starehe mkimaliza unamtoa na hela ya nauli lakini mwisho wa siku anakuja kukupiga mzinga utackia "baby wangu naomba laki moja nna shida".

Wakati yeye pia anafanya kazi na anakipato, yani sasa hivi dawa ni kuwa mwanaume suruali tu, unabaki na hamu zako, zikikuzidi unanunua mzigo unapiga unasepa hamna kung'ang'aniana.

Huu mwaka sitajisumbua kumuimpress mwanamke dadadeek!
Mkuu sikufichi huu mwaka mimi nimejipanga kweli kweli kukabiliana nao, na nimeshaanza kuona faida yaani hela inakaa mfukoni kabisa,starehe na anasa za kipuuzi puuzi mi sina saivi, urafiki na watoto wa kike ndio sina kabisaaaaaaa,
 
*Zawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE:*
```1. Nyumba```
```2. Gari```
```3. Duka/biashara```

*Zawadi ambayo MWANAMKE humzawadia MWANAUME:*
```1. Vest```
```2. Boksa```
```3. Saa```

*Wanaume Tupimwe akili*

Hahahahahaha, hivi kwanini?
 
Back
Top Bottom