kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 497
- 951
wakati unaliwa ondoka!So... Tufanyeje???
hapana mkuu, kuna ukwelWewe ndio unawaza mbali. Pole
Mkuu hii biashara ya ukwaju ukiiangalia kwa makini ina ukakasi sana, kuanzia jinsi wanavyoyabeba
Hakuna hata picha mkuu. Tuone huo ukwaju ?wakuu habari..
.
.
huu ukwaju uloletwa mjin umekuwa unaliwa kivingine kimitego na hawa waliozungumza ana kwa ana na shetani pale bustanini!
.
tazama wanavyoulamba utashangaa mara waunyonye huku wanakutazama usoni.
.
.
ukiwa unaongea nae unaona kabisa kichwa chake hakipo na wewe kipo mbali sana. unaona kabisa kuna kitu anakiwaza..
.
.
kwanini mkuuMkuu hii biashara ya ukwaju ukiiangalia kwa makini ina ukakasi sana, kuanzia jinsi wanavyoyabeba
hata matangazo.. imagine mtu anashout nauza lamba lolo..Mkuu hii biashara ya ukwaju ukiiangalia kwa makini ina ukakasi sana, kuanzia jinsi wanavyoyabeba
Walivyo hawana akili hawa...wataanza kujiingizia kunako kwao hawaa..