aisee hii kiboko yaani wakati nasoma huu uzi mara msg imeingia whatsapp nimepigwa kizinga cha salamu cha elfu60 tena mtu mwenyewe yupo nje ya tanzania sasa najiuliza kaamua kunitega au ndio bado huko aliko anaishi kwa mazoea kama tupo wote maana hiyo pesa ili aipate inabidi niandae laki kabisa na wala sio 60