Perfecto pukka
Member
- Sep 16, 2016
- 18
- 15
Itafikia mahali hata kumsalimia tu mwanamke itabidi ulipie bila hivyo haitiki.Umenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...
HahahahaUmenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...

Mapenzi shilingiMapenzi siku hizi ni kama mchuzi tu.

Hahahahhhh uyo alikua hana hela ya cakeUmenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...
Usifananishe mchuzi na vitu vya kijingaMapenzi siku hizi ni kama mchuzi tu.
Itafikia mahali hata kumsalimia tu mwanamke itabidi ulipie bila hivyo haitiki.
Wanakuambia hivii..."Jiongeze"
hawa viumbe acha kabxa....ila mungu anawona...

Hujaelewa nini namaanisha.Usifananishe mchuzi na vitu vya kijinga
Mapenzi gazeti.Mapenzi shilingi![]()
Nawewe ujanielewa nini namaanishaHujaelewa nini namaanisha.
teh teh teh teh..........Usifananishe mchuzi na vitu vya kijinga
Nimemaanisha kuwa mapenzi siku hizi time yoyote yanavunjika.Nawewe ujanielewa nini namaanisha
Nimemaanisha kuwa mapenzi siku hizi time yoyote yanavunjika.
