Sasa Gesi vipi, bei iko juu au watu watumie mkaa?

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Umeme bei imeshuka kiduchu, bado wengi hawataweza kupikia umeme.

Mkaa bado utatumika kwa wingi sana, uharibifu wa Mazingira. Hapo Kazi kwa Waziri Maghembe, Waziri Muhongo, Waziri Wa Fedha (kodi za gesi), Waziri wa Mazingira - Makamba....Muangalie sababu za kukata miti ya kuni na mkaa.....

Gesi ya majumbani ishuke bei.....MUHIMU SANA...

hakuna mtu anapenda kupika kwa kuni au mkaa
 
Back
Top Bottom