Sare Sare Maua

07/12/2045 serikali ya tanzania imetoa oda ya kuagiza ndege 200 aina ya AIRBUS na 200 kutoka kampuni ya kutengenza ya BOENG na imeagiza kununua ndege za kubeba mizigo ndege 50 aina ya ANTONOV kwa ajiri ya kusuply nyama viazi senene na ndizi barani ulaya
 
umekosea tarehe mzee, ni tarehe 01/04/2045.
 

Mkuu umeingia Chaka siyo mwaka 2045, walisema mpaka mwaka 2061.
 
Mskate tamaa 2045 rais wa tanzania nitakuwa mimi na kauli mbiu yangu itakuwa ni WATANZANIA NIPENI NCHI MPATE KULA MEMA YA NCHI YENU
 
lakini mwezi wa nne tarehe moja basi 2061.hahahah ndivyo jamaa alivyotaka kumaanisha nafikiri. siku ya fools day.
Sawa kabisa mpango tunao, lakini baada ya kupitia upya mkataba na hayo makampuni mapango ni 2099.
 

Hizi ndo ndoto nyevu zenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…