Yeah nimemwona huyo President wanna be akila chabo kiganjani. Enzi hizo tupo chuo tulikuwa tunaita JUCHE!.Remember those quizzes you had on the state capitals back in junior high? Oh, the pressure! The temptation to write "Pierre, Olympia, Dover, Albany" on the inside of your hand was overwhelming, wasn't it? But you resisted. Maybe Sarah Palin should have done the same.
The former vice presidential candidate seems to have been caught using curious crib notes during an interview this past weekend at the high-profile Tea Party Convention in Nashville. While speaking about her top political priorities, Ms. Palin gazed at her hand in a rather suspicious manner.
Later, Web researchers zoomed in on her left palm and found the following words scrawled in black ink: "Energy, Budget cuts (with "budget" crossed out), Tax, Lift American Spirits." In an ironic twist during the speech, Ms. Palin worked in a jab against President Obama's often-mocked use of TelePrompTers.
Lebels: yahoo.com
Yeah nimemwona huyo President wanna be akila chabo kiganjani. Enzi hizo tupo chuo tulikuwa tunaita JUCHE!.
Halafu anamsakama Obama eti anatumia telepronter kwenye hotuba zake, wakati yeye mpaka kujibu maswali anatumia telepronter ya kiganja. Du shame on her.Yaani unajua kinachochekesha ni kwamba alikuwa kwenye intavyuu ya maswali na majibu. This revelation inaonyesha kwamba huyu mama alikuwa tayari ana desa la maswali atakayoulizwa!!!!!!!!!!!
Sioni chochote kibaya ku outline pointi zake kwenye kiganja.
Yaani unajua kinachochekesha ni kwamba alikuwa kwenye intavyuu ya maswali na majibu. This revelation inaonyesha kwamba huyu mama alikuwa tayari ana desa la maswali atakayoulizwa!!!!!!!!!!!
Yeah nimemwona huyo President wanna be akila chabo kiganjani. Enzi hizo tupo chuo tulikuwa tunaita JUCHE!.
Sioni chochote kibaya ku outline pointi zake kwenye kiganja.
Heheehee kama ulikuwepo vile, mambo ya Juche idea!.Bila shaka hicho chuo ni DTC ya zamani mkuu....tehe tehe tehe heheheheeee
Sioni chochote kibaya ku outline pointi zake kwenye kiganja.
..Republicans watafute mtu mwingine tu, huyu Mama ni mtupu mno.