bosco patrick
Member
- Nov 12, 2015
- 16
- 7
Tunaombeni serikali ifuatilie hili suala. Maana kuna watu mtaani huku mwanza wananunua hizo sarafu kwa sh 1000/= hatujajua mtatumizi yake ni yapi. Na ukifuatilia kwa karibu utagundua kuwa 500 imekuwa adimu, sina uhakika kwa mikoa mingine ila kwa Mwanza. Inaonekana 500 ya noti inapotea kwa speed sana. Hiyo ya sarafu inayoingia inanunuliwa na kutumika isivyotakiwa