Lakini kwa kweli kwenye mzunguko wa kifedha tunahitaji noti zenye thamani zaidi ya Sh 10,000, suala la kusema litazidisha mfumuko wa bei BOT ijipange vizuri kulidhibiti, angalau ziwepo za Sh 25,000.. manake ni usumbufu mkubwa sana kwa wale wafanyao biashara kubwakubwa za fedha taslim..kubebana nazo ni hatari hatari hatari, hawana amani kabisa..