Sarafu Moja Afrika Mashariki?

Nchi za cameroun, congo, gabon na central africa wanatumia sarafu moja...na pesa zao zinatengenezwa kutoka republic of central africa..

siko sure sana na haya maneno--make mwenyewe niko maeneo haya haya
 
siko sure sana na haya maneno--make mwenyewe niko maeneo haya haya
Do you home work...wanatumia sarafu moja..?
Watu wanahofia kutumia sarafu moja kwasababu ya exchange rate..facts ni kwamba kwa kuwa Tz shilling ni weak kwa Ksh...ina maana kenya ndiyo losers ikiwa haya mambo yatafanyika sasa hivi ..wakati wa Tanzania na uganda tuki-benefit...UK walioogopa hayo kwa kuwa pound was stronger..lakini kila siku euro inapanda differences inaanza kuwa ndogo..haya mambo ni time bound..waja ije tutazoea na kufaidi umoja kuliko -kutishwa tishwa kila siku dunia yetu wote ...
 
siko sure sana na haya maneno--make mwenyewe niko maeneo haya haya
Cameroon, the Central African Republic, Congo-Brazzaville, Equatorial Guinea, Chad and Gabon Gabon are members of the Central African Economic and Monetary Community (CEMAC) and the Bank of Central African States (BEAC). Members icurrency is the franc of the Communaute Financiere Africaine (CFA). The CFA is convertible and tied to the euro; 1 euro equals 656 CFA.
 
Who to address the differences while leaders are not aware of the differences??
 
Hivi nchi zinazotumia CFA walianza zaidi ya miaka 20 kama sikosei. Kwa nini currency yao haipandi au ndio kusema uchumi wa hizi nchi zote haukui?
Je, kuna jambo lolote la kujifunza hapo? Vipi UAPTA iliishia wapi?
 
Hii haitusaidii kabisa.Je mwananchi wa singida,shinyanga,mtwara atafaidika nini?
tuna matatizo mengi kwanza tuyasort out before tuingia katika huu mchonjo.

Nchi zote hazina democracy kamili,uganda wana dictator,sisi tuna udicteta wa chama ,kenya ndio hivyo na vague iliyotekea.
Ufisadi wa EPA,BoT,Meremeta,Wahindi,Twin towers na mengi mengi bongo ni ya muhimu sana kuliko huu upumbavu wa EAC.

wabunge wa EAC wanatusaidia nini?
 
Mmakonde,
Una mawazo mazuri.
Tusubiri wadau wayachambue.
 


http://kumekucha.blogspot.com/2010/01/xenophobia-and-mau-unites-karua-and.html
 
Hii inatakiwa ifanywe haraka sana bila kuchelewa na ukiangalia vizuri wanaopinga ukiangalia arguments zao hawana idea wanaongea nini na hawaelewi kabisa mambo ya fedha yanavyofanya kazi,hakuna haja ya kusikiliza upupu wataturudisha nyuma hawa,just do it...hii itapunguza sana sana cost of doing business kwa nchi zetu,nashangaa sana watu wanavyojikomoa kwa kushindwa kujielimisha vitu vidogo kama hivi.
 

.....wewe ndio uache upumbavu wako na ukae kimya maana huna idea na unachoongea zaidi ya cheap politics za mtaani zisizo na facts yeyote.
 


Tuelimishe kuhusu UAPTA? Au USA $ wanavyochapisha makaratsi yao au UK £. Vile vile ile sarafu ya Franco phone countries? Je, imekuwaje sasa akina Soros et al hawataki tena Big banks? Anything big is dangerous au sivyo?
 
sina tatizo na kutumia sarafu moja kitu pekee ambacho serikali inatakiwa ijihami thidi ya jirani zetu ni ktk suala la usalama maana wenzetu ujambazi wao ni wa kutumia silaha za kivita ( AK 47's etc ) na pili suala la ardhi lisiwe ktk suala la jumuia kwamba asiye mtanzania asiwe na haki sawa kama mtanzania kwani wenzetu hawana ardhi washauza kwa wazungu wanatafuta pa kupumulia!
 
Hivi nchi zinazotumia CFA walianza zaidi ya miaka 20 kama sikosei. Kwa nini currency yao haipandi au ndio kusema uchumi wa hizi nchi zote haukui?
Je, kuna jambo lolote la kujifunza hapo? Vipi UAPTA iliishia wapi?
Ninaye rafiki yangu hapa wa Niger nao wanatumia hiyo franc.Uchumi ndo hakuna jamaa hataki kurudi nyumbani.Faida yake may be ni kurahisisha manunuzi lakini kwenye uchumi loh.maake bado itategemeana na tumeuza kiasi gani. Na kama hatuna cha kuuza basi ndo ni kuwarahisishia wakenya kutuuzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…