Sara ya mkwere


ubalikiwe!!
 

Mwenzangu umechemsha. Lugha ya kuongea na kutamka ni tofauti. Maandishi ni muhimu yakiwa katika lugha sahihi, isipokuwa matamshi ndio angalau unaweza kuchapia hata hivyo sishauri tunatakiwa kujitahidi kuwa "fluently " katika lugha.
 
Ahahaah!! Hii lugha gani sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…