Pole sana mkuu acha maneno mengi sema uko mkoa gani upate mwaliko wa sikukuu. JF wapo watu wema sana kama mimi usiogopeSalam!
Usilolijua neno SANTA. lilibadilishwa herufi makusudi kutoka neno SATAN.
Tamaduni za watu wa magharibi huwafundisha watoto wao kumwandikia barua Santa Ili kuchagua zawadi wangependa pokea toka kwake.
Sasa huyo π avaaye mavazi haya na kugawa zawadi, behind the scene anayeabudiwa ni Satan.
Katika vitu Mungu huchukia ni Ibada ya Sanamu, na Mungu amesema mara nyingi kuwa Yeye ni Mungu mwenye wivu, na hapendi kushare utukufu wake na yeyote.
Ni hayo tu machache kwa wasiojua maana ya π na kuingia kichwa kichwa mkenge wa kugaiana zawadi kwa JINA la Santa.
Santa" primarily means "saint" or "holy" (from Latin sanctus), used in Spanish and Italian for female saints (e.g., Santa Maria), but it's globally known as a shortened name for Santa Claus.Salam!
Usilolijua neno SANTA. lilibadilishwa herufi makusudi kutoka neno SATAN.
Tamaduni za watu wa magharibi huwafundisha watoto wao kumwandikia barua Santa Ili kuchagua zawadi wangependa pokea toka kwake.
Sasa huyo π avaaye mavazi haya na kugawa zawadi, behind the scene anayeabudiwa ni Satan.
Katika vitu Mungu huchukia ni Ibada ya Sanamu, na Mungu amesema mara nyingi kuwa Yeye ni Mungu mwenye wivu, na hapendi kushare utukufu wake na yeyote.
Ni hayo tu machache kwa wasiojua maana ya π na kuingia kichwa kichwa mkenge wa kugaiana zawadi kwa JINA la Santa.
Santa was originated from western culture.Santa" primarily means "saint" or "holy" (from Latin sanctus), used in Spanish and Italian for female saints (e.g., Santa Maria), but it's globally known as a shortened name for Santa Claus.
Unatakiwa uhakikishe Katika kusherehekea, Mungu mmoja YESU Kristo ndiye anayeabudiwa, na SI mwingine.Pole sana mkuu acha maneno mengi sema uko mkoa gani upate mwaliko wa sikukuu. JF wapo watu wema sana kama mimi usiogope
Chai Santa stand for Saint especially Santa Claus acha ngonjera za Kisabato bob celebrate kumbukumbu ya kuzaliwa mfalme,ni ibilisi tu na wafuasi wake mnachukia kuzaliwa Mwokozi wa ulimwengu kemea Roho ya Herode vaa Roho ya Mamajusi enjoy Christmas dude!Santa was originated from western culture.
Ni Mila za kimagharibi,
Wana tamaduni na ibada za kimila kwa asili yao ambayo wamekuwa wakifanya kuabudu Miungu yao tangu enzi na enzi.
Tamaduni hizi zimeanza kabla ya ukristo kuja,
Walipoupokea ukristo,wakachukua na Mila zao wakibadili Mila ziendane na dini.
Tarehe 25 December alizaliwa nani?Chai Santa stand for Saint especially Santa Claus acha ngonjera za Kisabato bob celebrate kumbukumbu ya kuzaliwa mfalme,ni ibilisi tu na wafuasi wake mnachukia kuzaliwa Mwokozi wa ulimwengu kemea Roho ya Herode vaa Roho ya Mamajusi enjoy Christmas dude!
π π π
Hatusherekei tarehe ila tunasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa Mwokozi hata ingekua tarehe 5 mwezi wa 5,10 mwezi 7 yote ingebaki kua kumbukumbu wenye akili waliichagua 25 December kwa maana muhimu sana,sasa ukitaka tuanze kudeal na tarehe wakati tunajua Calender ya Gregory sio ya Julian au ile ya kiyahudi waliyotumia wao utakua ni wendawazimu maana kiuhalisia kuna lost of memory katika kipindi cha reset ndio maana wakapendekeza hiyo ili kuweka kumbukumbu sawa so what???Tarehe 25 December alizaliwa nani?
Fuatilia.
Saturnalia 17-25 DecemberHatusherekei tarehe ila tunasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa Mwokozi hata ingekua tarehe 5 mwezi wa 5,10 mwezi 7 yote ingebaki kua kumbukumbu wenye akili waliichagua 25 December kwa maana muhimu sana,sasa ukitaka tuanze kudeal na tarehe wakati tunajua Calender ya Gregory sio ya Julian au ile ya kiyahudi waliyotumia wao utakua ni wendawazimu maana kiuhalisia kuna lost of memory katika kipindi cha reset ndio maana wakapendekeza hiyo ili kuweka kumbukumbu sawa so what???
May be hawakua interested na kusherekea kwani lazima washerekeee wao ndio na sisi tuige?Saturnalia 17-25 December
Kwanini imeanza Karne ya nne?
Kwanini mitume hawakusherehekea?
Salam!
Usilolijua neno SANTA. lilibadilishwa herufi makusudi kutoka neno SATAN.
Tamaduni za watu wa magharibi huwafundisha watoto wao kumwandikia barua Santa Ili kuchagua zawadi wangependa pokea toka kwake.
Sasa huyo π avaaye mavazi haya na kugawa zawadi, behind the scene anayeabudiwa ni Satan.
Katika vitu Mungu huchukia ni Ibada ya Sanamu, na Mungu amesema mara nyingi kuwa Yeye ni Mungu mwenye wivu, na hapendi kushare utukufu wake na yeyote.
Ni hayo tu machache kwa wasiojua maana ya π na kuingia kichwa kichwa mkenge wa kugaiana zawadi kwa JINA la Santa.
Nguvu hii ya kupambana na sherehe za wakristo ungeielekeza kupambana dhidi ya umasikini unaokuandama wewe na familia yako.Salam!
Usilolijua neno SANTA. lilibadilishwa herufi makusudi kutoka neno SATAN.
Tamaduni za watu wa magharibi huwafundisha watoto wao kumwandikia barua Santa Ili kuchagua zawadi wangependa pokea toka kwake.
Sasa huyo π avaaye mavazi haya na kugawa zawadi, behind the scene anayeabudiwa ni Satan.
Katika vitu Mungu huchukia ni Ibada ya Sanamu, na Mungu amesema mara nyingi kuwa Yeye ni Mungu mwenye wivu, na hapendi kushare utukufu wake na yeyote.
Ni hayo tu machache kwa wasiojua maana ya π na kuingia kichwa kichwa mkenge wa kugaiana zawadi kwa JINA la Santa.
Mimi ni mkristo pia,Nguvu hii ya kupambana na sherehe za wakristo ungeielekeza kupambana dhidi ya umasikini unaokuandama wewe na familia yako.
Sawa umenena vyema,May be hawakua interested na kusherekea kwani lazima washerekeee wao ndio na sisi tuige?
Hayo ni matumizi mabaya ya kufikiri,
Kumbuka majira na nyakati hubadilika,tamaduni na mapokeo vile vile so watu wakajiongeza kama walikua wanasherekea sikukuu zao binafsi na za miungu yao kwanini wasisherekee kuzaliwa kwa Mwokozi wa Ulimwengu baada ya kuijua kweli?
Mimi naona tatizo sio tarehe wala watu fulani walifanya au hawakufanya kikubwa ni utashi na akili timamu Mungu hakutuumba tuwe maroboti na watu wa ndio mzee alituumba kua wabunifu so I proudly to see Crazy dudes walikuja na idea ya kitofauti gues what hadi wapagani na wapinzani wote wanasherekea Kumbukumbu ya Mwokozi wetu Yashua Hamashiach the Lord himself,
Enjoy Christmas dude dont complicate mambo utateseka kwa kila angle ku judge judge mambo!
π π π