Unajua wakati mwingine hii dunia ina maajabu.
Yaani unaweza ona kama unaishi vizuri, unakula, unalala pazuri.
Ila ukitazama watu wengine maisha yao yalivyo mazuri
Unaweza jiona kama vile hapa dunia upo kuwasindikiza wao.
Aaah yote tamaa tuu
Tulidhike na vitu vyetu.