Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Wapendwa.
Kasie mie, sina hamu na sandwich lady.
Kuna mkaka mmoja tulikutana training mwaka jana, ilikuwa training ya wiki 2, that kaka alionesha sign zote za kunidondokea ila hakusema neno hadi training ikaisha.
Hamadi!! Leo nikiwa naelekea kupata lunch tukakutana njiani baada ya salamu tukasema tuingie nearby restaurant tupate lunch na maongezi.
Ile tumeingia silverspoon, tukakutana na dada mmoja akamchangamkia jamaa na kutaka tuketi meza yake akamkatalia kuwa tunamaongezi.
Mdada akaja meza tuliyokaa akaanza kumwambia jamaa anaomba dakika 10 tuu kisha aende, kwani hata aliongea cha maana, ooh pale kazini majungu mengi, we bado mgeni pale, blah blah kibao.
Kumbe wako wote ofc moja, akamkatisha na kumwambia nikitoka hapa ntakuita uje tuongee mezani kwangu. Ile sandwich lady kaondoka, hata dakika mbili hazikuisha akapigiwa simu anatakiwa ofisini fastaa, akanyanyuka na kunikiss na kuniambia ILU!! Nikabaki nimeduwaa, i admire the guy ila sandwich lady alinizibia hata namba ya simmu sikuchukua.
I dont know if I love him but I admire him, mweeh!! Kasie mie.