Asante mkuu...... kwa hiyo alipaswa aangalie tu!Wakati Daudi alipokuwa akilihamisha Sanduku la Agano kwenda Yerusalemu, Sanduku liliwekwa juu ya gari. Ng'ombe walipojikwaa, Uza aliunyoosha mkono wake na kulishika Sanduku ili lisidondoke. Ndipo Mungu akampiga Uza, naye akafa papo hapo.
Lakini kuna jambo muhimu: tatizo halikuwa kwamba Uza alitaka kusaidia tu. Mungu alikuwa tayari ametoa maagizo kuhusu jinsi Sanduku lilivyopaswa kubebwa. Kwa mfano:
“Watatie yale mapingo katika vile pete za sanduku, ili kulichukua sanduku kwa hayo.”
— Kutoka 25:14
Na Walawi waliagizwa kulibeba Sanduku kwa njia maalumu; halikupaswa kusafirishwa kama mzigo wa kawaida kwenye gari. (1 Mambo ya Nyakati 15:2, 12–15)
Kwa hiyo, tukio la Uza linafundisha hasa kuhusu utakatifu wa Mungu.
alikuwa na dhambi akashika kitakatifu.Hellow Great Thinkers...
The LORD is good....
Mimi kama Mzaburi nimekuwa nikijiuliza kwanini
Uzah alikufa alipolishika sanduku la BWANA....
Wakati akitaka kuliokoa baada ya kutaka kuanguka?
Kwa nini wafilisiti waliliteka ila hawakufa hadi kulipeleka kwenye nchi yao?
Karibuni watumishi wa MUNGU aliye hai.....
Ccc..... Matunzo 02 a sinner saved by Christ Setfree and all Great Thinkers
Kwa sababu HAKUWA kuhani,KWA wao wanaisraeli Sheria waliyopewa wao ilikuwa haruhusiwi kulishika MTU asiye kuhani.
Kutokutii Sheria ya Mungu kwao mana hiyo Sheria walipewa wao.. specifically kwao ilikuwa ni UASI.
KWANINI WALE wengine waliliteka...MUNGU ALIRUHUSU.
GHADHABU ZA MUNGU NI ZA HAKI.
Ghadhabu ni HASIRA yenye kutoa HUKUMU.
Wakati HASIRA ya mwanadamu Haina HAKI.
Kwa sababu Mungu anaona hata MIOYO YA WATU aonavyo Mungu si SAWA na mwanadamu,pengine wanadamu tunaweza kuona kuwa alikuwa na NIA njema kumbe Mungu ameona NIA YA MOYO WAKE ilikuwa ni Nini?kwanza alipata wapi guts za KUsogelea sanduku huku yeye siye KUHANI.? huwezi JUA motive behind JE ni KIBURI..?. DISOBEDIENCE?..Mungu ndiye ANAJUA anayeona mioyo na mawazo ya watu KWA ndani,sio kama sisi tunavyo ona KWA nje.
Ndio MAANA MTU anaweza akaleta sadaka kanisani kuku ishirini ,kumbe hao kuku wote wanaumwa kideri ANAJUA akibaki nao bandani kwake watakufa au wataambukiza kuku wengine au Hana kazi nao.
Sisi KWA sababu hatujui Nia ya dhati ya moyoni tunampongeza na kumshukuru kwa kutoa sadaka kumbe yeye amefanya kanisa dampo la kutupa uchafu.
MUNGU ANAWEZA KURUHUSU MABAYA YAKUPATE ALIRUHUSU wakae jangwani miaka 40,ALIRUHUSU waingie utumwani,ALIRUHUSU SANDUKU LA AGANO LICHUKULIWE lakini HUKO HUKO lilipopelekwa MUNGU akalitetea SANAMU la dagoni likaanguka na kuvunjika likisujudu mbele ya sanduku la AGANO.
nimeandika KWA kifupi.
Yeah wafilisti hawakua na agano kama ilivyo ilivyo kwa uzah, kumbuka uzah alikua mtunza sandaku kwa miaka mingi , hivyo ni kama alidharau na kupuuza agano lililowekwa ndani ya nyumba ya abinadabuAsante Bwashee kutokujua inaweza kuwa kinga ya kutopata madhara? ....
Hofni na fineasi kwa mujibu wa kitabu walikufaKwanini wana wa Eli walikuwa wanafanya mambo ya kihuni patakatifu ila hawakufa!
WalikufaKwa nini hawakufa wakati wanafanya hayo mambo kama uzah alivyo fanya one mistake... akafa!
aliwasamehe kupitia baba yao hata kipind cha nuhu aliyepata kibali ni nuhu ila akaokoa na wanawe.Kwanini wana wa Eli walikuwa wanafanya mambo ya kihuni patakatifu ila hawakufa!
Kwa nini hawakufa wakati wanafanya hayo mambo kama uzah alivyo fanya one mistake... akafa!
Kipindi hicho , Mungu alikuwa hacheki na wowote,, mkizingua kidogo tu ni kichapo kinatembea mji nzima..