Nzuri ila kwa hiyo bei ya shs 80,000/= watanunua mabeberu tu.SANDALS KWA BEI POA YA JUMLA NA REJAREJA
+255657291795 WhatsApp nikutumie sample zaidi View attachment 2048712View attachment 2048713View attachment 2048714View attachment 2048715View attachment 2048716
Kwa nimeandika 120000 mbona sijaweka bei
Mimi nashangaa kila mtu anasema bei yake wakati mimi sijaandika bei

Bado kaka sijaashtuka kaka naona kila mtu ananitajia bei ambao sijaziweka

Tatizo udalali, usanii na upuuzi. Ndio maana hatuendelei tunabaki kulalamaHaya mambo tumezoea kuona kwenye magari nk. Kumbe mpaka kwenye bidhaa ndogondogo kama viatu!View attachment 2049366
